Kaka yangu ana bottom kubwa afanye mazoezi gani?

babylove

Member
Oct 13, 2009
59
5
Happy people how are u? za siku nyingi. Kwetu tumejaliwa maumbile mapana chini ya kiuno, kwa sisi wadada kutembea tuna feel shy sometimes hasa tukiwa TZ maeneo ya kariakoo wanaume wanatutaniaga kwa kupiga miluzi.

Ishu kubwa hapa ni my bro yeye na ame adopt hio hali na ana jifeel noma kwani anakuwa na bottom kubwa na akitembea wenzake shuleni wamtania. Kuna aina gani ya zoezi au dawa ya kupunguza hilo eneo ili awe kama wanaume wengine? Msaidieni my bro is so unhappy. Tulirithi toka kwa wazazi wote.

Thanks guys we are waiting for solutions.
 
Keshafika Umri wa kubalehe?, kama hajafika anaweza kubadilika, lakini kama keshabalehe basi inaweza kuwa ndio mojakwa moja na mara nyingi huwa ni hormone imbalance (ana hormone nyingi za kike) na mara Nyingi huwa inaambatana na sauti kutokuwa nzito na hata kukosa Ndevu, Hilo sio suala la mazoezi ni kitu kazaliwa nacho, lakini kuna dawa ambazo zinaweza kurudisha hizo Hormone kwenye Balance yake, sina uhakika kama Tanzania Zipo ama kuna clinic inayofanya hayo mambo hapa Tanzania
 
mmmhh!! Sudhani kama hilo ni tatizo la kumfanya mtu akose raha!! He needs to be confortable na mwili wake. Anatakiwa apate ushauri wa kisaikolojia zaidi, pia aanze mazoezi ya kukimbia (jogging).

Kikubwa hii needs to be ok with himself....no one is perfect!! Sishauri sana madawa ya kisasa ya kupunguza makalio kwa sababu ya side effect zake!!

Dada mwambie kaka yako hata Fat Joe ana makalio makubwa yet he is living his life like real G!!
 
Mi namshuari avae suruali pana .. ni maumbile!! hakuna tizi la kupunguza hiyo kitu..
 
baby love ni pm
je sehemu zingine za mwili yuko sawa? Haswa tumbo, kifua na mapanja.

Any way hiyo inaweza kuwa ni obesity ya makalioni. Ili kuondoa hilo tatizo basi afanye mazoezi ya kukimbia, kuendesha baiskeli, mchakamchaka na mazoezi mengine ambayo yanafanya misuli ya makalio kushughulika.
 
hayo ni maumbile tu kumbuka mungu alituumba kwa mfano wake sasa atakapojichukia mwenyewe akumbuke anamchukia mungu alivyomuumba so mwambie awe confortable tu!
But kwa msaada zaidi aonane na Watu wa forever living products watamsaidia kwani yawezekana ikawa ni mafuta tu mwilini mwake!
 
Happy people how are u? za siku nyingi. Kwetu tumejaliwa maumbile mapana chini ya kiuno, kwa sisi wadada kutembea tuna feel shy sometimes hasa tukiwa TZ maeneo ya kariakoo wanaume wanatutaniaga kwa kupiga miluzi.

Ishu kubwa hapa ni my bro yeye na ame adopt hio hali na ana jifeel noma kwani anakuwa na bottom kubwa na akitembea wenzake shuleni wamtania. Kuna aina gani ya zoezi au dawa ya kupunguza hilo eneo ili awe kama wanaume wengine? Msaidieni my bro is so unhappy. Tulirithi toka kwa wazazi wote.

Thanks guys we are waiting for solutions.

SHENZI TAIPU MIMI, uchaguzi 2010 ulinifanya kuisahau forum hii !!!!!!
 
Shaft yake inafanya kazi sawasawa? Kama ndio, basi he has to make sure he propelled it frequently! Pia afanye mazoezi na kuwa makini na diet.
 
Alitakiwa asome shule za msingi zisizo na madawati akalie mawe for 7 years yangeisha kabisa.......
 
Kuna wanaume watatu hivi nawafahamu ambao wana ishu kama ya kaka yako. Anahitaji counselling sana sana ajikubali alivyo. Ni hatari sana kama atajisikia vibaya maisha yake yote, atakosa raha ya maisha. Avae mavazi sahihi pia
 
Back
Top Bottom