Kaka yake Maxence Melo

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Wengi wanataka kumfahamu kaka yake Max Melo.

Jamaa mwenyewe ni maarufu sana na ni huyu hapa:

juventus_home_felipe_melo1.jpg

Gilberto_Silva_Felipe_9424.JPG
 
Ila kwa mujibu wa Max Melo, hapatani kabisa na huyu dogo, maana ana tabia ya kujikweza sana!
 
Damu ni nzito kuliko maji.... Hii kali ndugu wasiojuana kama ni ndugu.
 
Samahani kama nitawakwaza.

Kwani huyo Max Melo ni nani (Just playing nisije nikala ban tafadhali):hungry::hungry:
 
max anaonesha alishawahi kuwa bauncer zamani mana naona kamsuli kale si haba!!
 
Msuli huo usione hivyo. Ni kama reli ya train za TGV. Utaona kembambaaa ila kila siku mizigo na watu inapita tena kwa speed kali na kireli kipo tu. Sasa usifanye kosa akuweke KUBWA KULIKO, mhhhhhhh, utaomba kabali za mbao.
 
Loba ya Mbao si ya kitoto ukitoka salama unakuwa tayari umeachia kitu uani!
 
Msuli huo usione hivyo. Ni kama reli ya train za TGV. Utaona kembambaaa ila kila siku mizigo na watu inapita tena kwa speed kali na kireli kipo tu. Sasa usifanye kosa akuweke KUBWA KULIKO, mhhhhhhh, utaomba kabali za mbao.

Mbona nimesikia pia yeye ni NINJA anapatikana wk end kwenye temple za Upanga.....
 
Unapokuwa na ndugu maarufu kama Felipe Massa ahhh Felipe Melo, basi inabidi msuli uwe wa kuaminika. Ukiwa NINJA basi ni poa zaidi.
Vipi bado una Wave zile flags zako? Naona umeanza kupandishwa chart sana. Lini utaanza kuvaa bling bling? Au hela zote zinakwenda Somalia?
Mbona nimesikia pia yeye ni NINJA anapatikana wk end kwenye temple za Upanga.....
 
Back
Top Bottom