Kaka wa Mkenya aliyeuwawa na polisi ajitokeza mazishi rombo

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Kaka wa hayati njuguna mkenya alieuwawa na polisi arusha,kisha kumbatiza George waitara,amejitokeza katika mazishi ya Denis huko rombo
 
Jamani mnauliza kwa nini amekuja???ina maana hatakiwa kuja kumchukua mwili wa mdogo wake na kufanya utaratibu w akumzika?
 
Ajabu moja! Paul Njuguna, Nyumbani kwao eneo la Kikuyu wanasema yuko Darisalama!! Hawana taarifa ya kifo!!!
 
Ni hivi paul njuguna alikuwa akiishi kajiado ila kijijini kwao ni Nakuru,leo rombo amefika kakae ili kuanza kufuatilia taratibu kwa ajili ya mazishi,akaona ni busara kufika rombo kwenye mazishi ya shujaa wetu,maana waliuwawa kwenye mazingira yanayofanana,yaani innocent blood,pia mkumbuke kuwa cdm wako makini sana katika haya maswala
 
Back
Top Bottom