Kaka na Dada wapeana mimba

Adam na Hawa walizaa wana wawili wa kiume Kaini na Habeli. Kaini akaamua Habeli, wakabaki Adam, Hawa na Kaini. Sasa swali, je watu walizaliana vipi wakati Adam na Hawa walizaa watoto wote wa kiume? Tena mmoja akapungua kwa kuuawa? Naona hata hawa hawana kosa, wafungishwe ndoa tu.
 
Nijuavyo mm,hao sio ndugu. Ili udugu uwe wa nguvu na kuharamisha ndoa yao,ilipaswa wawe wamenyonya ziwa moja! Ila aende clinic. Swala la shule tuiachie serikali.
 
Mtoto wa Mama Mkubwa na Mama Mdogo SIYO Kaka na Dada! Hawa wanamegana bila matatizo!
 
Ili mtoto ambae hana makosa apate malezi stahiki ya baba na mama, kesi hii isiende polisi. Imalizwe kinyumbani na hawa vijana waulizwe kama wanataka kuoana waozeshwe. Otherwise binti ajifungue then ataendelea na masomo.
 
hivu kuna maandiko yanakataza hilo?...huyo aliyempa mimba mwanafunzi sheria ichukue mkondo wake...

jk alishasema ni kihelehele chao(wanafunzi wabeba mimba) sheria haiwezi kufanya kazi kwa maneno kama haya kutoka magogoni.
 
hii ishu ni ngumu,kwani sisi dada yetu alikua anapendana na mjomba wetu..kila walipoulizwa walipinga,mwishowe binti akapata mimba akotoroshwa hadi mjini akaishi huko akiudumiwa na huyu mjomba wetu, tulipogundua sisi kama famili tukamfukuza huyo mjomba(kwani alikuwa ameajiliwa nyumbani kama dreva) pia tuliwapiga marufuku kuja nyumbani lakini cha ajabu hawakutisha wakaendelea kuishi pamoja hadi leo.na wana mtoto mmoja na mimba ya pili ilitoka.
 
Wana jf kunajambo moja nataka kuwakumbusha.mambo haya yalitoke zama za nyuma sana na paka leo yanatokea.lakn ktk familia ambayo hakuja tookea jambo kama hili likija kutokea kunakua na mambo ya asili ktk maisha yao.kwiyo msiwtenge.
 
Waoane ila kwa dini ya kikristo sijui utaratibu ukoje maana hao ni ndugu. Mwenye kujua zaidi atujuze na je kama ndoa itashindikana mtoto atakuwa wa nani yaani babake

soma biblia yako vizuri, zamani za agano la kale ilitakiwa kwenda kuoa kutoka kwa ndugu zako.
 
Mimi kuna wengine nawafahamu sasa ni watu wazima wameona mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo baba zao ni tumbo moja ,jamaa walianza mchezo wakiwa shuleni ,walipogunduliwa wakaonywa ,lakini wapi wakaamua kupeana mimba,mbali ya kuonywa sana,mwishowe ikabidi wazazi wakubali yaishe wakaooana na mpaka sasa wana watoto wakubwa tu,hcho kituko kiliacha gumzo kubwa kwenye kitongoji cha Itunge kule Kyela ,ilikuwa miaka ya kwenye 80 hivi na hao waliooana ni kati ya familia zilizokuwa na majina na maarufa sana huko Itunge,kwa muda walikuwa wanaishi Tabata,kwa hiyo haya mambo hutokea ,lakini kama mimi binafsi naona kwa kweli kwa kufanya hivyo,waathirika ni watoto ambao watajua kumbe baba na mama ni mtu na dada yake sasa sijui inaleta picha gani kwa watoto,si ajabu nao watakuja oana kaka na dada kwani si wataona mbona baba na mama nao walioana
 
Back
Top Bottom