Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,605
- 1,704
http://images.google.com/imgres?img...hl=en&sa=N&start=18&ei=OpWjSuOpGc7AsAa1zZnSBA
Wote wamewahi kuongoza timu kutwaa kombe la mabingwa wa vilabu Ulaya (UCL). Kwenye ngazi hiyo wote wamewahi kuwa wachezaji bora sana kwa miaka tofauti. Hivyo hapo tunaweza kusema wote wako sawa.
Ila tunapokuja kwenye ngazi ya timu ya taifa hali inakuwa tofauti. Kaka ameiongoza Brazil kufuzu kucheza kombe la dunia leo/jana. Messi kajitahidi ila Argentina iko hoi katika michuano hiyo. Ronaldo timu yake iko mahututi!
Sasa swali la kujiuliza ni kuwa nani ni mkali katika nyanja/ngazi hiyo ya kucheza mpira katika timu ya taifa? Je ni Kaka ambaye tayari ana vikombe kadhaa na timu ya taifa?Au Messi machenga? Pengine ni Ronaldo mabio?

Last edited: