kaka kama uyu tutamsaidiaje wakuu,inasikitisha sana

aende kijijini akalime,swagga za town zimempita kushoto

sasa mkuu,uyo ni mzalamu halisi,amezaliwa magomen na kukulia magomen,na dar ndio kwao,uko kijijin aende kwa nani na alale wapi? toa wazo la kumsaidia mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom