kaka kama uyu tutamsaidiaje wakuu,inasikitisha sana

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
msg.jpg

kaka kama uyu tutamsaidiaje wana jf
 
Mwache akae tu aseme sina chochote vitakuja tu....

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
...kwenye hiyo list angemalizia na "nahitaji msaada" ningefikiria jinsi ya kusaidia...kama ni lyrics je?
 
Atafuta mama mwenye kazi yake nzuri..afanyie vizuri huyo mama baada ya mwezi uone kama utasikia analalamika.... Au awasiliane na Professor Jay ampe mchongo wa Zali la Mentali......na jinsi alivyotoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom