Kaka huyu bahiri

Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri??wakati wewe unafanya kazi!nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato!na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana??nawaombeni mnijulishe tatizo linatokea wapi??
usiniambie umeshapigwa mzinga.......
 
Pole bana, umekutana na wale wanaoamini mwanaume sharti amuhudumie mwamamke! Zake anapeleka kwao zako anataka ndo zimuhudumie
 
usiniambie umeshapigwa mzinga.......
Hahahahaaa tena mzinga atakuwa kapigwa na mdada mwenye mshahara mkubwa kumzidi yeye ndo maana imemuma.....mwambie mwanaume atakula kwa jasho km hataki wenzake watampatia dada atakacho na yeye atakuja hapa kuleta malalamiko kuwa katoswa....teh*
 
Ok siyo mbaya fanya hivi, tutafutie mademu ambao tukishawa f*ck wawe wanatupa sisi wanaume mikwanja kama tunza yetu.
 
kamanda kiiza hiyo tunaita sindano.... Lazma utoke damu, mie demu wa sindano naona kama anajiuza aissee
 
yaani ugonge mzigo afu utoke hivo hivyo?
Una hatari
ukila lazima uliwe?
Get that!

Hata kama mshahara mabilioni lazima utoe hata ya pipi toffee

Kwani wakati wa mechi yeye ndo anakula peke yake au wanakulana?
 
Hakuna mizigo ya bure siku hizi kaka,ila cha msingi siku ya kula mzigo hakikisha yeye anafeel pain na wewe unasikia raha,hii ndo dawa yao.ni hayo tu!
 
..Inategemea umepata mwanamke wa aina gani..expensive lady will always be expensive mpaka kwenye show whether una-date nae au otherwise....na a simple lady will always be simple whether una-date nae or otherwise....Huyu expensive mshahara wake huwa upo budgeted already so inabidi na wewe ufanye top up coz ana mambo mengi+ wewe. Ila huyu simple hana shida,when it comes to your money since za kwake zinamtosheleza sawiiiia....
 
unajua izi lawama.
mways inategemea unataka wa aina gan, kuna wadada simple wala hawana shida pia kuna wale expensive bad enuf huwaga wanaonekana tu.
ss ww unamuona kbs binty na heka heka zake afu unataka ugonge bure lol.
tena no wounder ulipenda izo heka heka zake , well kwa hapo huduma lazima jaman.
ukitaka wa aina ile kajipange tu.
 
yaani ugonge mzigo afu utoke hivo hivyo?
Una hatari
ukila lazima uliwe?
Get that!

Hata kama mshahara mabilioni lazima utoe hata ya pipi toffee

This is not good spirit.
Ndio maana wanawake ni rahisi kuwa abusive kwa ajili ya hii dependence.
 
Back
Top Bottom