Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Advice kwanza hapaForthrightly push the guy arudi home….si kasoma vema bana? So why anaogopa to face the music? Ana Masters's ya nini? I can advice….
Advice kwanza hapaForthrightly push the guy arudi home….si kasoma vema bana? So why anaogopa to face the music? Ana Masters's ya nini? I can advice….
wewe ndio bwabwa mhandisi? nikushauri nini na ushazoea kamchezo kako....
dogo sikia....type zako ni wakina aunty ezekiel...tupe siri ya painkiller kukubaby seat......bwa ha ha haUsiishi kwene denial bwana mdogo, sie kaka zako tupo kwa ajili yako.
Kwanza huna udhu..ngojea nisijinajisi zaidi..:mad2:dogo sikia....type zako ni wakina aunty ezekiel...tupe siri ya painkiller kukubaby seat......bwa ha ha ha
huyo naona msaada mzuri ni kumrudisha tz ambako atapata kazi nzuri kuliko kumpangishia...................!
ushamPM mumeo najua.....Kwanza huna udhu..ngojea nisijinajisi zaidi..:mad2:
mwambie bro wako aache "upuuzi"...anyway..how old is he?...maana mambo mengine yanachangiwa na umri mdogo...if he's below 25yrs mwambie aendelee kukaza mpaka afikishe 30...kama yupo 30 and above mwambie afanye fasta aje mjini nimpe michongo "ILA LAZMA AENDE RESS MWANZO MWISHO LAA SIVYO ITAKULA KWAKE FASTAAA"...
mwambie hapa town deal kibao cha msingi awe na watu...hizo papers na elimu yake aweke kapuni kinachohitajika ni speed n accuracy kwenye mishemishe za kitaa..."POLENI KWA KUFULIA NA MAREKANI YENU"...PIA NATAMANI HUU UJUMBE UWAFIKIE VIJANA WENGI WENYE IMANI POTOFU KUWA MAISHA NI MAREKANI....
au kama vipi wewe rudi home uone "JEURI YAKE YA KUNGANGANIA UGENINI" anaitoa wapi...ni maoni tuuu
ushamPM mumeo najua.....
wewe uliyeleta topic subiri siku ukikosa kazi labda ndio utaelewa unachoongea,na nyie mnaosema solution arudi home naona ni wanafiki wakubwa na wengi hamna idea na mnachoongea,kukosa kazi ni jambo la kawaida na sometime inachukua muda kupata nyingine,kwanza huko bongo unemployment is like 100% sijui aje kufanya nini?naona mnataka kugawana njaa zenu tuu,msaidie mwenzako sio kumpa unnecessary pressure wakati hali ya kazi States sasa sio nzuri,leo yeye kesho wewe bro...tumeona watu wengi sana kama wewe mwisho wao sio mzuri.