mashalaah..au nimekosea kutangaza ndoa mapema nini?? nitaghairi??
Kuna wengine ukisha ona picture zao orignal, hawana tofouti hata ukiwaona live :bounce:Fazaa, unasifia demu kwa kuona picha yake fb ndugu yangu
Kajitundika kwenye FACEBOOK...
jamani jamani@patyTutakwisha wooote, yatabaki mawe ambayo hayawaoni ,
watabaki walio mochwari tu.
Natamani ila nashindwa nifanyeje, daaahhh
akinipa nachukua, no. yake tafadhali, mie niko huku KURASINI, UZALENDO UMENISHINDA eeehhh!!!! mmmmhhh!!! jamani iiiii,,