Kainerugaba Msemakweli na mafisadi wa elimu

dr chris

Member
Sep 23, 2011
77
12
wana jf ningependa kujua kwa yeyote anaejuwa nini kinaendelea ktk mashauri yahusuyo isue ya kaine na mafsd kwani mala ya mwisho niliwasliana kainelugaba akasema wadai wake hawaendi court sasa mpaka sasa kesi ipo au iliisha? nimeshndwa ku comincate na mhusika kwani namba nilishapoteza kama kaine mwenyewe atanisoma bac ahusike pia
 
Huyo msemakweli keshageuzwa msemauongo,njaa tu ilikuwa inamsumbua kapotea kimya,akikujibu hapa JF basi leo sio ijumaa!
 
we msemakweli uko wapi??! unakubali jina jipya la msm uongo? hebu lete ripoti kamili ni njaa kweli ilikuwa inasumbua? i am waiting 4 u now
 
Serikali kama ina nia njema waende mbali na wale wenye masters na PhD feki aliowataja msemakweli nadhani Ben Saanane analifuatilia ili la PhD feki.

List ya kainerugaba ina wazamivu na wazamili feki tuanze nao hao kisha nao waondolewe wasionee tu walala hoi hawa wa chini la saba 4m 4 na 6.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom