Kwa hiyo atakuwa anashikilia vyeo viwili kwa sasa, hiki cha "kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011," na hiki cha "kwa sasa ni Naibu Katiku Mkuu, ofisi ya waziri Mkuu..." Au?Imetolewa na Premi Kibanga
Mwandishi wa habari wa Raisi Msaidizi
Ikulu Dar-es-salaam
22/07/2011
Bwana MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
Uko sahihi. Jamaa ni mchapakazi , na utendaji wake si wa kubahatishaHIvi jamani hii nchi ikoje Ina maana jairo mpaka sasa hajitwa hata kuhojiwa na Polisi au Taukuru.
Au na makatibu wakuu wana kinga kama wabuge wawapo bungeni kuhojiwa mpaka kibali cha ikulu?.
Maswi Maswi Maswi. mhhh huyu jamaa kuna mtu anamjua kanipa dondooo kuwa kapita foregn affairs, Kapita Wizara fedha na kafanya kazi morogoro kama mkuu wa hazina ndogo .Ana taaluma na mambo ya kihasibu.
Jamaa anasema ni mchapa kazi na anaweza kudeliver zaidi kama nchi isingekuwa chini ya Magamba. katika kizazi cha maktibu wakuu vijana wenye mawazo chanya nadhani anaweza kuhesabiwa. Jamaa anasema hajui sasa kama hajambukizwa gonjwa sugu la CCM ambalo ni UFISADI mana ni siku nyingi sana
Tumpe pole,pale anatakiwa mtuawe engineer ndio anapaweza
Inawezekana mlikuwa bado hamjainyaka hii,kuwa huyo top wa hiyo wizara, ni daladala ambayo kila siku ilikuwa inapeleka hesabu.lakini nashukuru huyo mpelekewa hesabu baada ya kushitukiwa keshatangulia kujivua gamba kabla mambo hayaja haribika sana. Na hivi sasa yupo ng'ambo anasikilizia.Kweli magamba nouma. Hapo wanatafuta jinsi ya kumtoa kafara jairo, ishue hii lazima inabaraka zote za top management (waziri na naibu wake).