Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
Who is this guys?
usijali soon utapa profile ya huyu jamaa...
Who is this guys?
Who is this guys?
Hapana. Mgao utaisha siku jk atakapojigeuza wingu na kwenda kunyeshaaa katika mabwaya ya mtera na kidato!!! So we still have to wait...so now i hope we will get away with this shyt called mgawo wa umeme
Serikali inasubiri wadanganyika mmsahau Jairo,halafu arudishwe kwenye system!
changa la macho hilo.kwanin apewe likizo badala ya kushitakiwa? Ccm hao!!!!! Wanatumia wingi wao kutuburuza...UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425PRESIDENTS OFFICE,THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA ARIKufuatia Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Bwana David K. Jairo, kupewa likizo kwa muda, Katibu Mkuu Kiongozi, Bwana Phillemon L. Luhanjo, amemteua Bwana ELIAKIMCHACHA MASWI, kuwa KAIMU KATIBU MKUU, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011.Bwana MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.Imetolewa na Premi Kibanga,Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,Ikulu.Dar es salaam.22 Julai, 2011
mie nadhani kwa bunge hili, wabunge hawazidi 40, kwa maana hiyo bunge livunjwe. We si unaona wabunge ambao ndiyo watengeneza sheria wengi wao vilazaIla jina mbona kama la wale jamaa wanauwawa nyamongo na hatujawai kusikia hata siku moja huyu Maswi akipaza sauti? au ni walele, au yeye ni atakuwa anagawia Wabunge wetu Rushwa bila barua kama wizara zingine? Maana kosa la Jairo hapa siyo kugawa hiyo Rushwa, kosa lake hasa ni kugawa kwa barua na ndio maana utaona katika Wabunge wote wa CCM ni mmoja tu! ndie aliyediriki kusema hayo na ninadhani watakuwa wanamwita mnoko.Kwakuwa hiyo ni kawaida yao kila bajati, Posho, Rishwa, Mshahara etc. hivi kwanini tusiingie barabarani kudai hawa wabunge wote waondoke sasa hawapo kwa maslahi ya nchni hii.
waziri atakosa vipi kuhusika kwa sababu wizara ni ya waziri jairo ni mtendaji tu jamanivipi kuhusu waziri hausiki? ama jamaa alikuwa anafanya mambo bila waziri kuelewa? ikimaanisha no mawasiliano ktk wizara husika
Hakuna jipya ndani ya serikali ile ile yenye mfumo ule ule na watendaji wale wale wenye uchu ule ule wa kuimaliza nchi yetu
Why Luhanjo?
Hawamlindi Jairo.Ni uamuzi mgumu ambao wameufanya kuzima Jairo kutajwa tajwa sana. Lakini kulindana huku wanakokufanya siko. Kwani huyo si mtu kwanini wajifanye wanamfanyia utu?
eti huyo jamaa ni magwanda?