Kaimu Katibu Mkuu Nishati na Madini atangazwa

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Nimerejea wakubwa nikiwa na taarifa ifuatayo:

Untitled.png

Imetolewa na Premi Kibanga
Mwandishi wa habari wa Raisi Msaidizi
Ikulu
Dar-es-salaam
22/07/2011
 
Sasa likizo ya Jairo si tuliambiwa ni ya siku 10 tu!? au likizo hiyo imeongezwa na ndio maana wameamua kumteua mtu wa kukaimu? Hii Serikali ni hovyo sana!! Kauli zake za kila siku zimejaa utata mkubwa ambao hauna mbele wala nyuma. Duh!
 
Nimerejea wakubwa nikiwa na taarifa ifuatayo:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Bwana David K. Jairo, kupewa likizo kwa muda, Katibu Mkuu Kiongozi, Bwana Phillemon L. Luhanjo, amemteua Bwana ELIAKIM CHACHA MASWI, kuwa KAIMU KATIBU MKUU, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011. Bwana MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.Imetolewa na Premi Kibanga,Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,Ikulu.Dar es salaam.22 Julai, 2011

bibikuku hajawahi daganya hili jukwaa, nafikiri kuna ukweli. Wameamua kumtoa kwa Pinda kabisa!
 
Nimerejea wakubwa nikiwa na taarifa ifuatayo:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Bwana David K. Jairo, kupewa likizo kwa muda, Katibu Mkuu Kiongozi, Bwana Phillemon L. Luhanjo, amemteua Bwana ELIAKIM CHACHA MASWI, kuwa KAIMU KATIBU MKUU, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011. Bwana MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.Imetolewa na Premi Kibanga,Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,Ikulu.Dar es salaam.22 Julai, 2011

nimeizimia avata yako
 
so now i hope we will get away with this shyt called mgawo wa umeme
 
Ngoja tusubili matokeo ya uchunguzi kama yata wekwa hadharani ndani ya siku kumi
 
Mimi nadhani serikali inasiri kubwa juu ya Jairo. Mimi naomba uchaguzi ufanyike mwakani nadhani haya mambo yote yataisha.
 
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kufuatia Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Bwana David K. Jairo, kupewa likizo kwa muda, Katibu Mkuu Kiongozi, Bwana Phillemon L. Luhanjo, amemteua Bwana ELIAKIM CHACHA MASWI, kuwa KAIMU KATIBU MKUU, Wizara ya Nishati na Madini kuanzia leo tarehe 22 Julai, 2011.
Bwana MASWI, kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu.
Dar es salaam.
22 Julai, 2011
 
Ila jina mbona kama la wale jamaa wanauwawa nyamongo na hatujawai kusikia hata siku moja huyu Maswi akipaza sauti? au ni walele, au yeye ni atakuwa anagawia Wabunge wetu Rushwa bila barua kama wizara zingine? Maana kosa la Jairo hapa siyo kugawa hiyo Rushwa, kosa lake hasa ni kugawa kwa barua na ndio maana utaona katika Wabunge wote wa CCM ni mmoja tu! ndie aliyediriki kusema hayo na ninadhani watakuwa wanamwita mnoko.

Kwakuwa hiyo ni kawaida yao kila bajati, Posho, Rishwa, Mshahara etc. hivi kwanini tusiingie barabarani kudai hawa wabunge wote waondoke sasa hawapo kwa maslahi ya nchni hii.
 
Sasa likizo ya Jairo si tuliambiwa ni ya siku 10 tu!? au likizo hiyo imeongezwa na ndio maana wameamua kumteua mtu wa kukaimu? Hii Serikali ni hovyo sana!! Kauli zake za kila siku zimejaa utata mkubwa ambao hauna mbele wala nyuma. Duh!

siku 10 ni uchunguzi wa awali na likizo sio ya siku kumi kaka/dada
 
Maswi ategemee kukaimu zaidi ya miezi sita, halafu atahamishiwa Wizara nyingine na hapo kuja mtu mwingine kama Katibu wa Wizara. By the way, who is Maswi? Is he a member of F.I.S.A.D.I. syndicate?
 
Hakuna jipya ndani ya serikali ile ile yenye mfumo ule ule na watendaji wale wale wenye uchu ule ule wa kuimaliza nchi yetu
 
Back
Top Bottom