Kahawa na kashata za ikulu zinapobadilisha misimamo ya wanasiasa

babad

Member
Feb 9, 2011
95
13
[h=6]Duh!! kweli kashata za Ikulu tamu maana NCCR walipanga kuandamana kupinga kupanda kwa bei ya umeme, Baba Riz akaona isiwe inshu hawa wana hamu na kashata akawaambia wakamuone Ikulu wakaahirisha maandamano
Hivi hawajaona matokeo ya kwenda ikulu kwa waliowahi kwenda?Na kama walikuwa na hamu ya kuonana naye si wangeomba nafasi moja kwa moja kwake badala ya kutusumbua na taarifa za maandamano[/h]
 
Kaka ukitoa lawama kwa NCCR Mageuzi peke yake utakuwa ujatenda haki, kwani CUF na Chadema wamefanyaje zaidi ya kula kashata tu na kahawa.
 
Mchuzi wa bata sijalaumu kwa NCCR pwke yake ndo maana nimesema "Hawajaona matokeo ya kwenda Ikulu kwa waliowahi kwenda?"Hapo nilimaanisha CHADEMA na CUF kwani nao kama walienda kutalii tu na kunywa kahawa kwa kashata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom