Kahawa:hivi kiwanda kama tanganyika coffee curing limited kipo?

mabwepand

Member
Jul 16, 2012
86
22
Nimesoma kuwa Board ya kahawa wanategemea kueport kahawa before tax 320Bn!sasa najiuliza kipindi cha nyuma kulikuwa na kiwanda cha kahawa hapo Moshi,sasa hawa jamaa Kahawa yao wanaitolea wapi au ni kwa watu binafsi,serikali angalieni viwanda vyenu msije mkavisahau,Hope now kile kimebaki Gofu ukilinganisha na Mbinga pamoja na Mbozi
 
Itakuwa imeliwa kitambo na mafisadi kitambo Kamanda wangu!

Serikali tawala ni tishio kwa raia wake Kamanda!
Ngoja wadau waje!
 
Nimesoma kuwa Board ya kahawa wanategemea kueport kahawa before tax 320Bn!sasa najiuliza kipindi cha nyuma kulikuwa na kiwanda cha kahawa hapo Moshi,sasa hawa jamaa Kahawa yao wanaitolea wapi au ni kwa watu binafsi,serikali angalieni viwanda vyenu msije mkavisahau,Hope now kile kimebaki Gofu ukilinganisha na Mbinga pamoja na Mbozi
Kiwanda kipo lkini kiko hoi kibiashara tangu serikali iruhusu makampuni binafsi yanayonunua kahawa kuwa na viwanda vyao vya kubangua kahawa. Sasa hivi wanategemea sana kahawa ya kutoka chama cha Ushirika cha K.N.C.U,ambayo ni kidogo ukilinganisha na uwezo wa COFFEE CURING.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom