Kahama maining wanapora dhahabu yetu wanachimba nje ya sehemu waliopangiwa kisheria

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.
 
ndo faida ya kuwa na raisi legelege, naona huruma sana kwa watoto wetu, watachapa makaburi yetu wote, tuliokuwa tunasikia na wala hatukuinua sauti zetu
 
Wache wachimbe 2 mkuu wakimaliza kuchimba hayo mashimo 2tayaweka lami mabasi yapite chini kwa chini mkuu
 
maajabu haya MKUU ROMBO ni wewe umetokezea huku leo kweli maandaki ya dhahabu ni kiboko unaweza ingilia CDM ukatokezea CUF na ukarudi tena ukatokezea CCM
acheni wachimbe tutapata njia chini kwa chini kwani Zitto alishayafuatilia haya makampuni akakuta yanalipa mrahama na kodi vizuri saaana
 
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.

Siyo bure Kamuhanda wa Iringa akachunguze, lazima CDM wanahusika na uchimbaji huu.
 
halafu Nape na Mwigulu hawayapigii kelele. Wapuuzi kweli hawa, wao ni kutuita wanachadema maskini.
 
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.

Shareholding hiyo!!! Kila mikataba mikubwa ina under-cover owners from TZ!!! Shamba la bibi!! Yaani mbona madudu mengi sana na ndege zinatuna na kuchukua na hazikamatwi!!!!?? Dhaifu na legelege.
 
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.

Habari yako hiyo si sahihi yawezekana wewe umeambiwa tu hakuna kitu kama hicho hizo ni hadithi za Barabarani angalia sana chanzo chako cha habari kina walakini.
 
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.
Purely taarifa za kwenye vijiwe vya kahawa. Sina uhakika kama unajua unachokizungumza na nina wasiwasi na uelewa wako katika taaluma ya madini. Aliyekupa habari hii anakufanya uonekane zoba na kituko mbele ya watu wenye weredi wa masuala ya madini kama mimi.
 
Hizo ni habari za kwenye vikao vya kahawa!

Hivi Kutoka Kakola (ulipo mgodi wa Kahama Mining) adi Sengerema ni Km ngapi?

Duniani hakuna mgodi wa namna hiyo mkuu!
 
Purely taarifa za kwenye vijiwe vya kahawa. Sina uhakika kama unajua unachokizungumza na nina wasiwasi na uelewa wako katika taaluma ya madini. Aliyekupa habari hii anakufanya uonekane zoba na kituko mbele ya watu wenye weredi wa masuala ya madini kama mimi.

Hebu tuambie unachokijua wewe basi. Toa hoja ya counter attack kiweledi zaidi basi.

Tuambie mgodi huo ni open mine au sio open mine, kama unakwenda chini badi ni kiasi gani na kama unakwenda kwa mapana unakwenda kiadi gani kisheria na kimkataba.

Unajua unapopokea mahari ya mwanao, huwezi kujua kijana anamfanya aje huyo mwanao usiku wakiwa peke yao chumbani. Wakati unafikiri watakuwa wanafanya mapenzi kawaida, inaweza ikawa mwanao anafir.wa na huwezi kujua kama yeye hasemi.
 
Back
Top Bottom