Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kahama: CCM aibu kubwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jogi, Oct 31, 2010.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 10,220
  Likes Received: 2,727
  Trophy Points: 280
  nimeongea na mtu wangu wa ukweli kaniambia chadema kahama imefanya vizuri mno!!! kata zote. unakuta chadema 200, ccm 20 au 15, huo ndio uwiano. hureeee!!!
   
 2. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Poa ila mara nyingine tupe mchanganuo halisi!
   
 3. m

  mwalimumpole Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes tumeni na mchanganuo wa matokeo
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,360
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mmchanganuo halisi ndio kitu cha maana haswaaa,ila asante sana
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,698
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ba kong'wise mleninha raha gete!!!1
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,222
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kituo namba 007490 moa kimara  Matokeo  Urais  Chadema-109  Ccm-52  Cuf-3  Spoiled-1  Ubunge-ubungo  Chadema-114  Ccm-40  Cuf-6  Up-1  Tlp-1  Spoiled-1  Diwani kata saranga(kimara)  Chadema-95  Ccm-62
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,222
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Matokeo SUA Morogoro
  Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu  ...
  GUEST WING A  CHADEMA= 44  CCM = 44
  GUESTWING B  CHADEMA = 64  CCM = 56
  MULT-PURPOSE HALL A  CHADEMA = 54  CCM = 31
  MULTI-PURPOSE HALL B  CHADEMA = 62  CCM = 50
  MULTI-PURPOSE HALL C  CHADEMA = 64  CCM = 47
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,222
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Matokeo zaidi arusha
  Arusha Mjini
  kata ya Kaloleni :
  Kituo 1

  ...

  urais  ccm - 59,  chadema - 152,
  ubunge  ccm - 54,  chadema - 113,  cuf 4,
  udiwani  ccm - 52,  chadema - 105,  cuf - 12.
  Kituo 2,
  urais,  ccm - 76,  chadema - 119,  cuf - 2,
  ubunge,  ccm - 71,  chadema - 120,  cuf - 2,
  udiwani,  ccm - 70,  chadema - 108,  cuf - 11,  TLP - 4,
  Kituo 3,
  urais  ccm - 67,  chadema - 104,  cuf - 1,
  ubunge  ccm - 62,  chadema - 109,  cuf - 0,
  udiwani  ccm - 67,  chadema - 97,  cuf - 2.
   
 9. c

  chanai JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani safi sana, japo wasomi wa SUA wametuangusha. Hawakupata ushauri kutoka kwa wenzao UDSM?
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,222
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Matokeo zaidi kutoka mbeya
  ...Mbeya mjini  kalobe sec 1  Dr=109  Jk=97
  ubunge  sugu=119  ccm=80
  kalobe sec 2  Dr=107  Jk=76
  kalobe sec 5  Dr=93  Jk=85
  ubunge  sugu=112  ccm=67
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 30,184
  Likes Received: 4,561
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye nyekundu umenifurahisha sana nafungua shmpeni ya kwanza alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  :rip::rip::rip:ccm
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 60,559
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Ninasubiri kujulishwa tarehe kuapishwa kwa Raisi wa tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania...........................................
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Li chadema itabanya balasi ngwanawane....
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Na kutoka jimbo la Kahama nimeambiwa kwamba katika viti vya udiwani Chadema hadi sasa wamechukuwa kata mbili na CUF moja, CCM sifuri.
   
 15. Mr. Politician

  Mr. Politician Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Naona sasa watu tunaanza kunena kwa lugha
   
 16. J

  Jakanyanda Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabora mko wapi matokeo vipi? Akina sitta vipi?
   
 17. J

  Jakanyanda Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabora mko wapi matokeo vipi? Akina sitta vipi?
   
 18. N

  Njaare JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,064
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135

  Mkuu hebu angalia hayo matokeo vizuri toka SUA. CHADEMA wameshinda japo kwa ushindi mwembamba. vijana wachache waliopo wamejitahidi.
   
 19. C

  Chamkoroma Senior Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu wangu anaweza yote kwa wote waaminio ndiyo sisi tupo kuuon mkuu wa Mungu wangu
   
 20. u

  umenena Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye matokeo ya shinyanga atuhabarishe, mbona kimya mkoa huo, :israel:kuna nini????
   
Loading...