Elections 2010 Kagoda, Meremeta, Deep Green, Buzwagi, Bandari, nk kutumika dhidi ya Kikwete

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa baada ya watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani, wajiandae kwa mabomu yanayotegemewa kurushwa ndani ya wiki tatu zijazo.

Kumbuka kuwa,

Kikwete "ameshughulikia" EPA tu so far .....

Yaliyoachwa:

Kagoda, Meremeta, Deep Green Finance, 10% ya Buzwagi, safari zake za nje, etc bado hata hayajaguswa kwa vile yalimnufaisha (.....weka jina hapa...) moja kwa moja.

Kuna kigogo mmoja aliyefanyiwa umafia na Rostam Azizi kwenye kampeni zilizokwisha ameapa kumwaga mboga.

Watch this space.... na kama kawaida ya JF ...we dare to talk openly
 
Yangu mijicho, lakini issue sio kuibua hizo kero, kama ushaidi upooo wekeni hadharani sio msubiri kampeni ili upate kura yangu? nitakua siwasoni kabisaaaaaa cause to me that is the dirty play why now?
 
Mkuu Mwafrika,hiyo nadhani itafanya kazi kwa sehemu tu ya Tanzania.Huko 'kwingine' ambako nimebahatika kufika,wananchi hata tu neno ufisadi hawalijui/hawalielewi.Hivyo basi wakati huu ukianza kuwajulisha hzo 'new terms' za kagoda sijui dipu grini etc etc...Watakushangaa tu!Wahusika wa baadhi ya hzo kashfa waliporudi majimboni kwao walipokewa kama mashujaa let alone ambao wameshinda kwa kishindo ktk primaries.Kwa mtazamo wangu ni kuwa Watanzania (wengi?) wanahisi kuwa raslimali zilizopo hapa nchini ni kwa ajili ya wachache tu(watawala).Hivyo wanashindwa kulink kashfa hizi na maisha yao ya kila siku(huduma za kijamii wazipatazo).Mkuu we have a unique kind of voters,hasa ukizingatia kuwa watanzania wanapenda 'amani na utulivu' na si wepesi wa kukasirika.
 
Yangu mijicho, lakini issue sio kuibua hizo kero, kama ushaidi upooo wekeni hadharani sio msubiri kampeni ili upate kura yangu? nitakua siwasoni kabisaaaaaa cause to me that is the dirty play why now?

r u serious?
 
Back
Top Bottom