Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Nafikiri watu wa kuwakamata wakaonyesha wamiliki wa kagoda Ltd wameonekana kwenye hizo document kwani sheria lazima waliocertify wawe wanawajua personally, maana kuna taharifa kuwa wamiliki hawajulikani na ofisi ya kipawa haipo.

Hawa BRELA ina maana hawakuconfirm location ya address kabla ya kuwaregister nafikiri walitakiwa kwenda na kuconfirm kuwa hiyo physical address ni valid.
 
labda waanze sasa.
 
Huu music mbona mgumu sana kuupata?

Mimi napata hii:

The document is being edited/updated by a User and is unavailable at this moment
 
kama issue ni kuwa doc ni PDF mimi naweza kuweka free DPF to WORD converter

as long Ole hatoi delete
 
WaJamii,
Siku moja kuna jamaa aliniambia "Hivi hiyo Kagoda ukiliangalia jina lilivyo na ukaondoa 'a' ukaweka 'i' baada ya 'K' utapata jina la kigogo ambaye kama sikosei alikuwa na cheo kinachohusiana na Fedha CCM. Pia kigogo huyo alikuwa ndiye 'Rais mtarajiwa' aliyekuwa akipigiwa ndogondogo na Mkapa kabla Mkapa hajakabwa koo na Wanamtandao!" Kazi kwenu!
 
Bibi Ntilie... miyee mara nyingi nimekuwa nikitaka kutamka napotea na kuweka hiyo "i" lakini hadi sasa sikuweza kuionaisha na "Kigoda". Sasa kuna Plot 77 ambayo kuna kampuni ya RA (the famous Caspian), kuna Plot kuanzia 97-ambayo iko TISS VSAT ya Jimmy Mwang'onda/TISS (msiniulize mkataba wa kufanya hivyo uliingiwa na nani na lini) halafu katikati kuna Plot 87 ambayo ni Kagoda...

Now, if I had a map of all the plots between Plot 70 to 107... na kujua kila mmiliki wake... sidhani kama kuna mtu atashangaa kuona a certain pattern emerging, a pattern that will send chill down your spine.. a pattern of fear...
 
then........

Ama kweli despite all the hype, "Song of Lawino & Kagoda" limeishia kudoda! :)

Only 1-31 copies "sold" so far that to call it a "total miss" would be an understatement! Folks just can't be bothered to waste time trying to figure out technical details of a contract written in so difficult English.
 
"Single" ya "Kagoda" kufeli haijafeli bali imedoda tu. Ung'eng'e wa kisomi uliotumika naona umewaboa watu wengi.
 
"Single" ya "Kagoda" kufeli haijafeli bali imedoda tu. Ung'eng'e wa kisomi uliotumika naona umewaboa watu wengi.

KWANZA HIYO DOC YENYEWE INAPATIKANA?

Hilo la ungenge sawa sasa hatuwezi kulalamika mikataba mibov huku hatutaki kuimprove yayi

ndio dunia ya leo hiyo
 
KWANZA HIYO DOC YENYEWE INAPATIKANA?

Hilo la ungenge sawa sasa hatuwezi kulalamika mikataba mibov huku hatutaki kuimprove yayi

ndio dunia ya leo hiyo

Nyaraka kama hizo wanaelewa watu wawili-watatu tu Tanzania nzima wakiwemo Chenge na Mary Kejo. No wonder wamekuwa recycled serikali zote kuanzia enzi za Mchonga na wamekuwa wakihodhi nyadhifa, vyeo na madaraka lukuki tena kwa mpigo kuanzia awamu ya kwanza hadi leo hii.
 
Hii naifananisha na ile Silence on Blackout...inaelekea hii issue inawagusha "Inviscibles"....ooh sorry I meant "untouchables"

Database errorThe JamiiForums.com database has encountered a problem.Please try the following:
  • Load the page again by clicking the Refresh button in your web browser.
  • Open the www.jamiiforums.com home page, then try to open another page.
  • Click the Back button to try another link.
The www.jamiiforums.com forum technical staff have been notified of the error, though you may contact them if the problem persists.
We apologise for any inconvenience.
 
87mit5h.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom