Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,045
Na mimi ndiyo nimeipata muda si mrefu uliopita. Hata hivyo inanipa shida kuipload hapa. Na sasa niko tied up na kurusha mahojiano na Mhe. Anne Kilango Malecela. Naomba mtu anayeweza aingie klhnews.com pale juu kuna mahali panasema "Pics & Docs".. aende kwenye "Documents" na pale kwenye Documents kuna sehemu inasema "Special Documents". Akiingia ataiona na ninaomba inyonye kutoka kule na kuiweka hapa.
Thanks for the help. Vinginevyo.. nywele chache zilizobakia zinaweza kunyonyoka zote.
Mambo gani Mkjj?!
Nimekwisha poke kiingilio cha madancers hapa. Wamejaa nyomi wanataka kuzindua huo muziki mnene. Nikaingia KLH nichukue CD ndo nakuta maneno mbofu mbofu.