Wakitaka kujuwa Kagoda ni ya nani wala siyo tatizo within two minutes watajuwa kila kitu, hawajataka kujuwa wanatuyeyushaaaa tuu, Usalama wa Taifa unajuwa kila kitu. Hata huko BRELA watajuwa maboss ni akina nani, mimi sielewi kwanini hapa Tanzania kila mtu ni msanii.