Kagera: Tunahitaji bendera Mpya za CHADEMA na pia ziwe nyingi

Ni kweli tunahitaji ukombozi wa kweli Kagera,CDM wazungukie ktk vijiji bdala ya mwanza,ar nk.mf.ni hili jimbo la nkenge hakuna kitu yaani hatuna mbunge kabisa ndio maana waekezaji wa miwa kagera sugar wananyanyasa wananchi.pple powers
 
Hapa Muheza Tanga ndio waoga kama nini watu wanaogopa matusi kutoka kwa makada wa CCM, bendera za CDM ni chache sana, viongozi mkitembelea maeneo mzibebe na bendera, kofia, tshirt msisubiri kipindi cha kampeni
 
Mkuu Ta Muganyizi. Umeanzisha sredi nzuri sana kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na mkoa wetu wa Kagera. Ni kuthubutu na kujituma ndiko kutaipatia Kagera heshima. Nawaomba vijana wa Kagera mjiunge na mageuzi. Kagera tunataka wabunge na madiwani vijana wenye mawazo mapya na wanaotambua shida za wananchi wa mkoa wa Kagera. Hawa matajiri walioko Dsm na miji mingine mikubwa ambao wameanza kutoa rushwa ili kugombea kwa tiketi ya CCM, 2015 hawatufai! Ni kizazi kile kile kimeiangusha Kagera.
 
Wakuu!! Shukrani sana kwa wote wapenda maendeleo hususani waliotoa namba ya simu.

Baada ya kuniwezesha, nimeongea na Mh. Rwakatare na haya ni baadhi ya nukuu yake:

"Tunatambua tatizo hili hususani vijijini, Vijana msiwe na wasiwasi, tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha vitendea kazi vinapatikana, nakuhakikishia ondoa hofu tuko kwenye mchakato kuhakikisha vinapatikana soon. Tanzania ni kubwa, kuendesha chama kitaifa ni shughuli nzito na ni gharama kubwa, mafisadi nao wanasumbua kuhakikisha wanakwamisha harakati hizi!! Lakini vijana tuko pamoja na tunaomba ushirikiano wenu, ukombozi wa Taifa letu ni jukumu letu sote tusikate tamaa."

my take: Makamanda hawana mzaha, ukombozi u-karibu, magamba watajibeba!!
 
Mwana Kagera mwenzangu wazo lako la kuwa na Bendera nyingi za chama cha Demockarasia na Maendeleo ni zuri tu lakini nakuomba Uguswe na jambo moja tu kuhamasisha vijana wengi wajiandikishe wakati ukifika, waziuze shahada zao ukifika wakati wa kupiga kura, walinde kura zao kipindi muafaka kikifika, vijana wasibadilike kama vinyonga wakati wa kupiga kura,hapo bendera zileta maana sana katika mkoa wa Kagera.
Nasema hivyo kwa mifano mingi tu Ndugu W.Lwakatare alikuwa anaongoza katika mikutano yake kipindi cha Uchaguzi lakini ikifika wakati wa kupiga kura vijana wengi shahada wameuza zilikuwa zikiokotwa katika mabox kwenye njia Panda zote za mji wa Bukoba. vijana kwa wazee tuanze mshakamano kama mikoa mingine Ukombozi unahitaji umoja na sio maneno. Mujwahuzia.

Na waelewe kuwa Kura kwa Upinzanini ni CDM peke yake vyama vingine ni saa na CCm tu
 
Mwana Kagera mwenzangu wazo lako la kuwa na Bendera nyingi za chama cha Demockarasia na Maendeleo ni zuri tu lakini nakuomba Uguswe na jambo moja tu kuhamasisha vijana wengi wajiandikishe wakati ukifika, waziuze shahada zao ukifika wakati wa kupiga kura, walinde kura zao kipindi muafaka kikifika, vijana wasibadilike kama vinyonga wakati wa kupiga kura,hapo bendera zileta maana sana katika mkoa wa Kagera.
Nasema hivyo kwa mifano mingi tu Ndugu W.Lwakatare alikuwa anaongoza katika mikutano yake kipindi cha Uchaguzi lakini ikifika wakati wa kupiga kura vijana wengi shahada wameuza zilikuwa zikiokotwa katika mabox kwenye njia Panda zote za mji wa Bukoba. vijana kwa wazee tuanze mshakamano kama mikoa mingine Ukombozi unahitaji umoja na sio maneno. Mujwahuzia.

Ni kweli kitu ulichokisema hapo juu, wakati wa uchaguzi mkuu nilikuwa BK, na hiyo kitu nilishuhudia, kwa Kagasheki na watu wake kununua Kadi za kupigia kura. Tatizo jingine kwa Bukoba ni akina mama, hawa wanatakiwa kuelimishwa kwani karibia wote wamekuwa wakimshabikia Kagasheki kwa vijisenti kidogo anavyowapa na huwa wanamuita SWAHIBA. WANA KAGERA KOMBOKENI kwani mji wa Bukoba uko hoi sasa hivi kimaendeleo hata hospitali ya Wilaya haipo kinachotumika ni kizahanati kidogo ambacho hakina hata dokta mmoja.
 
Mkuu wangu hapo kwenye
red, kama ndivyo leo umechemka.

UTAFUTE GWANDA, ULIFUNGIE KABATINI, KUSUBIRI SHEREHE!

Ha ha ha ha ha ha! Mkuu, makamanda wanatia kombati na kuingia front-line na sio kusubiri "sherehe". Na vikongwe na watoto wafanyeje? Ondoa u-coward mkuu wangu - mabadiliko ya kweli yataanza na wewe.

Coward anatumia jina la Dudus, huna jina. Sasa kwa taarifa yako wako wapambanaji wasioogopa kama wewe Dudus.
 
Ni kweli kitu ulichokisema hapo juu, wakati wa uchaguzi mkuu nilikuwa BK, na hiyo kitu nilishuhudia, kwa Kagasheki na watu wake kununua Kadi za kupigia kura. Tatizo jingine kwa Bukoba ni akina mama, hawa wanatakiwa kuelimishwa kwani karibia wote wamekuwa wakimshabikia Kagasheki kwa vijisenti kidogo anavyowapa na huwa wanamuita SWAHIBA. WANA KAGERA KOMBOKENI kwani mji wa Bukoba uko hoi sasa hivi kimaendeleo hata hospitali ya Wilaya haipo kinachotumika ni kizahanati kidogo ambacho hakina hata dokta mmoja.
Siyo Bkb mjini pekee,hata Bkb vijijini CCM upigiwa kura nyingi na akina mama baada ya kuhongwa pesa kidogo ktk vikundi vyao. Tatizo kubwa ni elimu duni na umasikini!
 
Back
Top Bottom