Kagera: Tunahitaji bendera Mpya za CHADEMA na pia ziwe nyingi

Nadhani makamanda watalifanyia kazi hilo. Mimi napafahamu Muleba maeneo ya Kamachumu,etc, watu huko kote hawaitaki kabisa CCM. CDM inabidi izifanyie kazi hizi sauti za umma.
Asante kwa kuwasisitiza kwa ajili ya hili.
 
KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!Kumbe kipara alimwaga mkwanja! ssa amekwsha yaliyomkuta Idd dada yatamkuta kipara.watatofautiana jambo 1tu,idd tulmswaga kwa smg,kipara tunamswaga kwa kura.
 
Bendera za CDM kwa sasa ni dalili ya Ujasiri na Kuonesha kuwa uko tayari kwa lolote kuitetea nchi yako bila kificho kwa wana Kagera walio wengi. Zamani ili gari lako lisisimamishwe au ufanye shughuli zako bila bugdha ilibidi uwe na bendera ya CCM. Hali kwa sasa ni tofauti..........aliyetundika bendera ya CCM watu wanamshangaa wakiwemo hata watoto wa Primary..........wa msekondari ndo usiseme. Lakini kwa aliyetundika bendera ya CDM anapata heshima kwa sasa na kuonekana kuwa ni mtu aliyeko serious na anayeutngazia umma kuwa haungi mkono hali ya mambo ilivyo kwa sasa. Bendera za CDM zilizoko maeneo mengi hapa Kagera zimechakaaaa na kuonesha kuzeeka wakati chama kwanza ndo kinashika hatamu.

Tunaomba CDM watangaze wazi kuwa bendera hizo zinapatikana wapi, na ikiwezekana zigawiwe hasa kule vijijini ambako wanatamani kujitambulisha kwa jamii kuwa ni wanamapinduzi lakini wanakosa jinsi. Naomba ufafanuzi na response juu ya hili kutoka kwa wahusika.

Jamani Chairman Mbowe, fanya haraka kuiamsha Ngara pia. Niko Dar lakini kwetu Ngara cjackia hamasa kama ya maeneo mengine ya kanda ya. Ziwa. Hilo pia ni jimbo la Chadema, tunahitaji kuwahamasisha tu
 
Jamani Chairman Mbowe, fanya haraka kuiamsha Ngara pia. Niko Dar lakini kwetu Ngara cjackia hamasa kama ya maeneo mengine ya kanda ya. Ziwa. Hilo pia ni jimbo la Chadema, tunahitaji kuwahamasisha tu
Rudi nyumbani na wewe ukatoe elimu ya uraia/mabadiliko. Ukombozi ni jukumu la kila mzalendo.
 
Mm,kuna kazi.Baada ya CCM kushindwa kabisa kusoma alama za nyakati,sasa wakae mkao wa kuliwa.
Jamani Chairman Mbowe, fanya haraka kuiamsha Ngara pia. Niko Dar lakini kwetu Ngara cjackia hamasa kama ya maeneo mengine ya kanda ya. Ziwa. Hilo pia ni jimbo la Chadema, tunahitaji kuwahamasisha tu
 
Mkuu, kamanda wetu, K. Mkumbo anaenda kumng'oa Nchemba Iramba magharibi na wakati huo mimi nikimng'oa Salome wa magamba Iramba mashariki. Ni furaha iliyoje!!?
Mkuu umenifanya nicheke saana maana Nchemba ana kiherehere, baada ya kung'olewa Arumeru anafutwa kwake huko Iramba, ngoma inogile!!!!! Bado Bwn MATUSI kule Mtera, ingependeza kama Mkuu William angekubali ushauri wetu akapeperusha bendera ya CDM Mtera, akichelewa vijana watamuwahi!!!!!!!!!! Lazima na Bwana matusi ang'oke Mtera, wapate uhuru wa ukombozi wa CDM!!!!!

Asante kwa kuwasisitiza kwa ajili ya hili.

Nikuomba namba ya simu ya Rwakatare kama unayo, au yeyote mwenye nayo anitupie hapa!! Au niku-Lusinde ndo utajua niko sirious?

Nimeshachoka naona viongozi wetu hata hawatufikirii!! Yaani hata Rwakatare nae anakimbilia Mz na A.R!! Aibu hii bukoba yetu imelala kwasababu ya uzembe wa viongozi wa CDM mkoa!!
 
Mkuu yaani mwenye bendera wanamtamani na imefikia vijana hapa Bukoba mjini waendesha pikipiki wanaibiana bendera na kugombana sababu ya bendera............CDM fanyeni mpango mtuweke wazi.

Kagera wilaya gani? hata hivyo wasiliana na mwenyekiti wako wa wilaya uliko au mwenyekiti wa mkoa Lwakatale (0786 774697) au katibu wa mkoa Conchester 0754 071376
 
Mkuu umenifanya nicheke saana maana Nchemba ana kiherehere, baada ya kung'olewa Arumeru anafutwa kwake huko Iramba, ngoma inogile!!!!! Bado Bwn MATUSI kule Mtera, ingependeza kama Mkuu William angekubali ushauri wetu akapeperusha bendera ya CDM Mtera, akichelewa vijana watamuwahi!!!!!!!!!! Lazima na Bwana matusi ang'oke Mtera, wapate uhuru wa ukombozi wa CDM!!!!!

Mkuu, ukweli ndio huo. Nchemba hana lake tena 2015, inabidi aanze kufangasha virago mapema.
 
Halafu kagera mnahitaji ukombozi wa fikra maana magamba yamewafunika majimbo yote. Huo usomi wenu uko wapi?

Wananitia aibu. Sikutegemea ndugu zangu bado wako nyuma hivi katika harakati za ukombozi. 2015 nakuja kupiga domo la ukombozi kuanzia Kashozi mpaka Bugabo.
 
Nikuomba namba ya simu ya Rwakatare kama unayo, au yeyote mwenye nayo anitupie hapa!! Au niku-Lusinde ndo utajua niko sirious?

Nimeshachoka naona viongozi wetu hata hawatufikirii!! Yaani hata Rwakatare nae anakimbilia Mz na A.R!! Aibu hii bukoba yetu imelala kwasababu ya uzembe wa viongozi wa CDM mkoa!!

Lwakatale (0786 774697) au katibu wa mkoa Conchester 0754 071376
 
Kagera wilaya gani? hata hivyo wasiliana na mwenyekiti wako wa wilaya uliko au mwenyekiti wa mkoa Lwakatale (0786 774697) au katibu wa mkoa Conchester 0754 071376

Mkuu wewe una akili sana!!!! Nilishatafuta sana hii namba, ngoja nimtwangie mmoja wapo nitarudi na maelezo ya kutosha!!

"Ubarikiwe sana"
 
Ni kweli tunahitaji ukombozi wa kweli Kagera,CDM wazungukie ktk vijiji bdala ya mwanza,ar nk.mf.ni hili jimbo la nkenge hakuna kitu yaani hatuna mbunge kabisa ndio maana waekezaji wa miwa kagera sugar wananyanyasa wananchi.pple powers
 
Back
Top Bottom