Kagera: Tunahitaji bendera Mpya za CHADEMA na pia ziwe nyingi

Bado kidogo, na magwanda yatapanda bei, Ngoja nitafute la kwangu, nilifungie kabatini kungojea sherehe za ukombozi.

Mkuu wangu hapo kwenye
red, kama ndivyo leo umechemka.

UTAFUTE GWANDA, ULIFUNGIE KABATINI, KUSUBIRI SHEREHE!

Ha ha ha ha ha ha! Mkuu, makamanda wanatia kombati na kuingia front-line na sio kusubiri "sherehe". Na vikongwe na watoto wafanyeje? Ondoa u-coward mkuu wangu - mabadiliko ya kweli yataanza na wewe.
 
Una laana wewe, si bure.
Yaani na wewe ndugu unaunga mkono mtu kuomba bendera?
ina maana watu wa kagera wanahitaji bendera kuliko maendeleo! sasa mwenye laana hapo nani mimi au wewe! yaani mnatetea jambo lolote hata kama ni hopeless!
kweli hivi vyuo vikuu vya kata vimetuletea matatizo makubwa sana!
 
Bendera za CDM kwa sasa ni dalili ya Ujasiri na Kuonesha kuwa uko tayari kwa lolote kuitetea nchi yako bila kificho kwa wana Kagera walio wengi. Zamani ili gari lako lisisimamishwe au ufanye shughuli zako bila bugdha ilibidi uwe na bendera ya CCM. Hali kwa sasa ni tofauti..........aliyetundika bendera ya CCM watu wanamshangaa wakiwemo hata watoto wa Primary..........wa msekondari ndo usiseme. Lakini kwa aliyetundika bendera ya CDM anapata heshima kwa sasa na kuonekana kuwa ni mtu aliyeko serious na anayeutngazia umma kuwa haungi mkono hali ya mambo ilivyo kwa sasa. Bendera za CDM zilizoko maeneo mengi hapa Kagera zimechakaaaa na kuonesha kuzeeka wakati chama kwanza ndo kinashika hatamu.

Tunaomba CDM watangaze wazi kuwa bendera hizo zinapatikana wapi, na ikiwezekana zigawiwe hasa kule vijijini ambako wanatamani kujitambulisha kwa jamii kuwa ni wanamapinduzi lakini wanakosa jinsi. Naomba ufafanuzi na response juu ya hili kutoka kwa wahusika.
Wakuu wa boma HQ ya CDM, si mmesikia kilio cha Ta Muganyizi pelekeni Kagera bendera skafu kadi za wanachama na vikolomboizo vingine watu wajue kuwa hata Kagera hawapo nyuma kwa swala la ukombozi wa Mtanzania!!!!!!!!! Kuanzia BKB town,BKB vijijini, Muleba, Karagwe, Biharamulo na Ngara kote huko eneza!!!!!!VIVA CHADEMA, VIVA UKOMBOZI WA MTANZANIA!!!!!!

Yaani na wewe ndugu unaunga mkono mtu kuomba bendera?
ina maana watu wa kagera wanahitaji bendera kuliko maendeleo! sasa mwenye laana hapo nani mimi au wewe! yaani mnatetea jambo lolote hata kama ni hopeless!
kweli hivi vyuo vikuu vya kata vimetuletea matatizo makubwa sana!
Watu wanaipenda CDM kwa sababu wana siasa safi na uongozi bora. Basically, uongozi bora huleta maendeleo kwa watu wake. Je huko kwenu magambani kuna hivi vitu?
 
Yaani na wewe ndugu unaunga mkono mtu kuomba bendera?
ina maana watu wa kagera wanahitaji bendera kuliko maendeleo! sasa mwenye laana hapo nani mimi au wewe! yaani mnatetea jambo lolote hata kama ni hopeless!
kweli hivi vyuo vikuu vya kata vimetuletea matatizo makubwa sana!

Wewe hujui kazi ya bendera na umuhimu wake nini...kaaa hivyo hivyo maana walikuja wengi humu mwaka huu tena mwezi huuu ulioisha kabla ya arumeru sasa wamepotea ghafla......umuhimu wake ni wa kisaikolojia zaidi lakini matokeo yake ni tangible. Kagera tunapenda maendeleo ndio maana Jk jana kwaletea meli mpya kui replace MV Bukoba.........wanataka bendera za CDM ili wampokee kwa shangwe akija Bukoba. Ili ujue akili hauna angalia alichovaa shingoni huyo mwenye avatar yako.
 
naiona tanzania mpya yenye tumain jema chini ya CDM....najikuta nikiimba 'Freedom-Is-Coming-Tomorrow.....' sipati picha itakuaje....nadhani itakuwa zaid ya 9/12/61...tumechoka kuonewa....sababu ya kuwatoa tunazo....na uwezo tunao pia......welcome new tanzania
 
Vipi yule kamanda wetu, Deusdedith Jovine bado yuko imara kama alivyokuwa 2010? Kwa kweli Fabian Massawe na Gosbert Blandes walaaniwe kwa ujambazi na unyama walioufanya wakati wa uchaguzi.

Kwa kazi aliyoifanya Massawe ..........amepewa zawadi ya Ukuu wa Mkoa wa Kagera kwa sasa.
 
naiona tanzania mpya yenye tumain jema chini ya CDM....najikuta nikiimba 'Freedom-Is-Coming-Tomorrow.....' sipati picha itakuaje....nadhani itakuwa zaid ya 9/12/61...tumechoka kuonewa....sababu ya kuwatoa tunazo....na uwezo tunao pia......welcome new tanzania

Ni matumaini yetu wote kuwa itakuwa hivyo.
 
Wewe hujui kazi ya bendera na umuhimu wake nini...kaaa hivyo hivyo maana walikuja wengi humu mwaka huu tena mwezi huuu ulioisha kabla ya arumeru sasa wamepotea ghafla......umuhimu wake ni wa kisaikolojia zaidi lakini matokeo yake ni tangible. Kagera tunapenda maendeleo ndio maana Jk jana kwaletea meli mpya kui replace MV Bukoba.........wanataka bendera za CDM ili wampokee kwa shangwe akija Bukoba. Ili ujue akili hauna angalia alichovaa shingoni huyo mwenye avatar yako.
Mkuu mwongo huyo anajua si aliona Arumeru Mashariki kwenye bendera nyingi na kura zilikuwa nyingi, kama ana mashaka asubiri 2015 aone upepo wa bendera!!!!!

Kwa kazi aliyoifanya Massawe ..........amepewa zawadi ya Ukuu wa Mkoa wa Kagera kwa sasa.
Nalifahamu hilo. Kwa kweli " umma wa watanzania hauna budi kupambana hadi tone la mwisho la damu ili kuwaondoa hawa magamba".Na saa ya mapambano ya ukombozi ni sasa.
 
Nalifahamu hilo. Kwa kweli " umma wa watanzania hauna budi kupambana hadi tone la mwisho la damu ili kuwaondoa hawa magamba".Na saa ya mapambano ya ukombozi ni sasa.
Huyu Slaa angetoka huko geita akaja mpaka Chato, na Maeneo mengine huku Kagera wananchi tungechanga.
 
Huyu Slaa angetoka huko geita akaja mpaka Chato, na Maeneo mengine huku Kagera wananchi tungechanga.
Nadhani makamanda watalifanyia kazi hilo. Mimi napafahamu Muleba maeneo ya Kamachumu,etc, watu huko kote hawaitaki kabisa CCM. CDM inabidi izifanyie kazi hizi sauti za umma.
 
Back
Top Bottom