Kagasheki vipi?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Tafadhali wana jamvi,hapa bkb tumeshindwa kufahamu bkb mjini ilipata sh.ngapi za mfuko wa jimbo.mbunge hasemi ila eti fedha alizopata ni kama tone kwenye ziwa.mwenye scandal za huyu mtu za binafsi ,kama mbunge,na hata waziri atuletee jamvini tunazihitaji sana.asanteni
 
Huyu alikuwa UN Geneva. Alihusika kwenye scandal ya fedha za UN zilizomhusisha mwanae Koffi Annan. Alikuwa na kesi Geneva ndipo akakimbilia Bongo na kumwanga fedha sijui kujenga barabara zilizomwezesha kuwa mbunge huko bkb.
 
huyo ni mtu mzuri anaskendal yoyote jamann.. namjua vizuri.......ni mtu wa watu anafanya kwa ajili ya watu.. chagua kagasheki cha gua kasibante
 
nibora ameiba hela un nakuja kueneleza kwao...kuliko wanaoiba ela za wananchi na kujieneleza vitambi vyaoo
 
Kagasheki ana hela sana. Tetesi nilizosikia ni kwamba alikuwa anataka kumnunua Lwakatare ili ajitoe -- ikashindikana!
 
Tafadhali wana jamvi,hapa bkb tumeshindwa kufahamu bkb mjini ilipata sh.ngapi za mfuko wa jimbo.mbunge hasemi ila eti fedha alizopata ni kama tone kwenye ziwa.mwenye scandal za huyu mtu za binafsi ,kama mbunge,na hata waziri atuletee jamvini tunazihitaji sana.asanteni

Unataka scandal zake ili iweje?

Amandla......
 
Kagasheki ana hela sana. Tetesi nilizosikia ni kwamba alikuwa anataka kumnunua Lwakatare ili ajitoe -- ikashindikana!
Kumbe unajua enheee. Wakati wa kuchukua fomu za uwakilishi wa jimbo kwa tiketi ya sisi m walijitokeza yeye na bwana mmoja anajulikana kama Rweyemamu. Huyu Rweyemamu aliwahi kuwa meneja wa KCU zamani. Ni mwana sheria.
Siku ya kurudisha fomu alimtuma bwana mmoja anaitwa Kabaka akamuwahi Rweyemamu kwa visenti na hakurudisha fomu hiyo ili ionekane amepita bila mpinzani.
Hayo ndio mazuri aliyowafanyia Bukoba.
 
Huyo ni fisadi sana maana anatoka chama cha mafisadi. Damu yake inanuka ufisadi maana alifisadi hata umoja wa mataifa!! anachobakiza ni kuwafisadi wananchi wa Bukoba kama hajaanza/

ILI UWE MJANJA NA UKUMBUKWE, USICHAGUE FISADI KAMWE
 
Huyu alikuwa UN Geneva. Alihusika kwenye scandal ya fedha za UN zilizomhusisha mwanae Koffi Annan. Alikuwa na kesi Geneva ndipo akakimbilia Bongo na kumwanga fedha sijui kujenga barabara zilizomwezesha kuwa mbunge huko bkb.

mkuu barabara ipi bkb imejengwa na balozi kagasheki?ipi?
 
Back
Top Bottom