Elections 2010 Kagasheki kugombea au kutogombea tena 2010?

Hii thread ilikuwa ya Kagasheki ambaye kwa hali yoyote ile anao Uhuru wa kidemocrasia wa kuamua kutogombea. Imegeuka kuwa ya Mzee Male ambaye naye anayo haki ya kidemocrasia ya kuendelea kugombea na kuendelea kuchaguliwa na wananchi wa jimbo lake. Tatizo liko wapi? Acheni wifuuuu!
 
Wakuu waheshimiwa,
Kuna hii thread na ile nyingine zote zinahusu Kagasheki kutaka kung'atuka. Mie nadhani ni jambo la halali na la kawaida tu kwamba mtu ukiona mambo hayaendi sawa basi unaamua la kufanya. Kama ni kweli Kagasheki katamka hivyo baada ya kuona kuwa akiwa king'ang'anizi hataweza kufanikiwa basi tumshukuru na kumsifu maana ni wachache ambao wanaweza kuwa na ujasiri huo!

Pia, kuhusu mali 'alizotapanya' kusaidia watu ama kuanzisha SACCOS ambayo haikuonyesha maendeleo inabidi apongezwe badala ya kubezwa kwa sababu alijitokea kusaidia wanyonge kwa kutumia vijisenti vyake alivyojilimbikizia akiwa Geneva. Hatujasoma mahali popote kwamba Kagasheki ni fisadi ama ana mahusiano ya karibu na mafisadi. isitoshe nimesoma humu kwamba hakuwa kwenye the so called 'Mtandao'. Hiyo tu ni credit kwa upande wake! Kama wapinzani hawatataka kumpa credit basi wana CCM wenzake wachukia ufisadi na wapenda maendeleo wanapaswa kufanya hivyo.
 
Kama gazeti limesema uongo basi na aende mahakamani na kulishitaki, hapo tutajua kweli ni uzushi. Vinginevyo atabaki na historia ileile ya kuwa alikuwa ana wa beep wapiga kura wake na cha moto kinamsubiri

Mkuu swali hili aliulizwa wakati akihojiwa kupitia hiyo Redio yake ya Kasilibante FM Kwamba je, anapanga kulishtaki gazeti au atalitaka limwombe msamaha? Yeye kasema hapana huo ni mchezo wa kisiasa tu hatalichukulia hatua yoyote.
 
http://www.boingboing.net/2005/04/16...llion-bri.html

“Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson” You can also download the attached doc.

Swiss Investigates Possibility of Bribery in U.N. Contract
Judith Miller

Swiss judge is investigating possible bribery charges involving a $50 million contract to renovate the headquarters of a Geneva-based United Nations agency, according to government documents and Swiss and American officials.

Jean-Bernard Schmid, the Geneva-based judge who has led the criminal inquiry, said in a telephone interview on Friday that his investigation was focusing on Michael Wilson, who was a consultant to the company that won the renovation contract at the World Intellectual Property Organization.

Mr. Wilson, a Ghanaian businessman, has been identified by investigators as a business associate of Kojo Annan, the son of Kofi Annan, the United Nations secretary general. The judge said Kojo Annan was not a target of the investigation.

Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi KAGASHEKI, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson, but said the money was from a private business venture that had no connection to the agency's construction contract. In an interview, Mr. Suedi said he had had nothing to do with the awarding of the contract.

Mr. Kwakwa said the agency's internal regulations, which are under review, permitted agency employees to have outside business interests as long as they were reported to the agency, approved by the agency's director and did not involve intellectual property. Mr. Suedi recently informed the agency that he was leaving in late April to pursue other activities, Mr. Kwakwa said, adding that he was not aware that Mr. Suedi had violated any rules of the agency, which registers and protects intellectual property.

Mr. Wilson did not return repeated phone messages seeking comment.
The criminal investigation was first reported Friday by Le Temps, a Geneva-based newspaper. Judge Schmid confirmed information published in the article, but declined to elaborate on details of his inquiry.

Mr. Wilson's relationship with Kojo Annan was cited in a recent report issued by the United Nations commission investigating its oil-for-food program in Iraq . According to the commission, Mr. Wilson was a vice president at Cotecna Inspection S.A., a company that worked for the oil-for-food program, and Mr. Wilson helped get Mr. Annan a job at the company.

After both men left Cotecna, they became partners in a consulting business in Africa, according to investigators in the United States and Europe . Kojo Annan's lawyer, Clarissa Amato, declined comment for publication.

The Swiss investigation concerns Mr. Wilson's activities in Geneva . Mr. Kwakwa said Mr. Wilson had been an intern at the intellectual property agency "decades ago" when his father was posted in Geneva as an ambassador from Ghana . Mr. Kwakwa said that more recently Mr. Suedi told officials there that he and Mr. Wilson had been doing work that involved "benevolent, nongovernmental organizations." Mr. Kwakwa said the outside work had been approved by the agency.

In a March interview, Mr. Suedi said that he and Mr. Wilson had done some consulting work in connection with the prospective purchase and management of hotels in Tanzania , but that it "hadn't worked out."

Officials said that after opening the investigation last year, Judge Schmid ordered Mr. Wilson jailed for nine days, during which investigators reviewed his computer files and bank records. Investigators said he was released after he agreed to cooperate with the inquiry and acknowledged having received a large consulting fee from the BPS construction consortium - comprising Béric S.A., Perret and Seydoux-DMB, - that renovated the headquarters. He also acknowledged having made a payment to Mr. Suedi.

The agency is one of several United Nations agencies and affiliated organizations whose management practices have recently been criticized by internal and outside reviews. A review published in February by United Nations officials in New York recommended substantial changes in the agency's budgeting and personnel policies.
"The inspectors believe a headquarters review and needs assessment should be undertaken urgently," says the review, a copy of which is posted on the agency's Web site.

The New York Times, 16 April 2005:
http://www.nytimes.com/2005/04/16/in...html?th&emc=th
 
Hahaha, anatikisa kibereti aone watu watasemaje maana anajua fika 2010 hapiti hapo BK. Anachofanya ni siasa za kucheza na akili za watu lengo likiwa kupima jinsi wapiga kura wake wanavyoweza kurespond. Ila ajitoe tu maana mapokezi ya rwakatare yalikuwa yanatisha na hii inaonyesha jinsi rwakatare anavyokubalika BK mjini.
 
- Hakusema hatagombea u-Spika, ila alisema hatagombea ubunge tena na he never did, hakuwahi kusema hatagombea tena u-Spika.

Respect.

FMEs!

Kaka hata wewe hapa umesahau, kubali tu vinginevyo utasingiziwa kazi ya propaganda. Huyo Msekwa alitamka wazi kuwa hatagombea tena nafasi zote mbili, ya ubunge na uspika. Kweli ubunge hakugombea. Lakini ilipofika wakati wa uspika, akaja na hadithi za kudai ati 'kamati ya uongozi' imemwomba agombee uspika ili amalizie 'kazi' aliyoianza, kwa madai kuwa wabunge wengi waliochaguliwa ati ni 'wageni' na hawana uzoefu kama yeye katika uspika. Binafsi nilishangaa, hiyo 'kamati ya uongozi' ilikaa lini, mbona Bunge lilishavunjwa rasmi kupisha uchaguzi mkuu? Hata hivyo majibu yake aliyapata, na sasa yaliyopita si ndwele anaganga yaliyopo Busanda.
 
Kaka hata wewe hapa umesahau, kubali tu vinginevyo utasingiziwa kazi ya propaganda.

Jamani kwani unataka kutuambia hii ni kazi ya familia? Yaani familia yote tunafanya kazi hiyo niliyo iwekea wino wa Yanga?
 
nazani kama ameamua hivyo ni jambo jema...amesoma vizuri alama za nyakati...alizani ubunge ni kitu kidogo...akamuulize Prof. Mgombelo...one term in bunge then off the map....
 
Maishabora,
Fahamu tu kuwa kuwa Kagasheki si fisadi bali tapeli wa kimataifa. Unayemsikia anaitwa Balozi kwa taabu sana hufika Geneva baada ya kuiliza World Intellectual Property Organization (WIPO) billions of $ akishirikiana na mtoto wa Koffi Annan. Wizi huo umethibitishwa na maodita wa Delloite jaribu ku-google ukitumia jina lake utaipata kesi yake!

Katika Tz anafanya tumagendo twa kimataifa unajua tena mtu ahachi asili. Mfano kuagiza magari toka Dubai na kuyaingiza kama ya Japan, kuingiz mafuta toka UAE bila kulipia ushuru. Naishia hapa UWT wasinitafute

unapotosha jamii. balozi suedi huenda geneva bila taabu yoyote ile labda kama unaoushahidi wa kusema amewahi kunyimwa visa ya kuingia uswiss au anatafutwa na vyombo vya dola vya uswiss.

yaani maodita wathibitishe kwamba jamaa "kavuta" kisha jamaa awe anadunda mjini? hii ngumu sana kuamini
 
http://www.boingboing.net/2005/04/16...llion-bri.html

“Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson” You can also download the attached doc.

Swiss Investigates Possibility of Bribery in U.N. Contract
Judith Miller

Swiss judge is investigating possible bribery charges involving a $50 million contract to renovate the headquarters of a Geneva-based United Nations agency, according to government documents and Swiss and American officials.

Jean-Bernard Schmid, the Geneva-based judge who has led the criminal inquiry, said in a telephone interview on Friday that his investigation was focusing on Michael Wilson, who was a consultant to the company that won the renovation contract at the World Intellectual Property Organization.

Mr. Wilson, a Ghanaian businessman, has been identified by investigators as a business associate of Kojo Annan, the son of Kofi Annan, the United Nations secretary general. The judge said Kojo Annan was not a target of the investigation.

Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi KAGASHEKI, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson, but said the money was from a private business venture that had no connection to the agency's construction contract. In an interview, Mr. Suedi said he had had nothing to do with the awarding of the contract.

Mr. Kwakwa said the agency's internal regulations, which are under review, permitted agency employees to have outside business interests as long as they were reported to the agency, approved by the agency's director and did not involve intellectual property. Mr. Suedi recently informed the agency that he was leaving in late April to pursue other activities, Mr. Kwakwa said, adding that he was not aware that Mr. Suedi had violated any rules of the agency, which registers and protects intellectual property.

Mr. Wilson did not return repeated phone messages seeking comment.
The criminal investigation was first reported Friday by Le Temps, a Geneva-based newspaper. Judge Schmid confirmed information published in the article, but declined to elaborate on details of his inquiry.

Mr. Wilson's relationship with Kojo Annan was cited in a recent report issued by the United Nations commission investigating its oil-for-food program in Iraq . According to the commission, Mr. Wilson was a vice president at Cotecna Inspection S.A., a company that worked for the oil-for-food program, and Mr. Wilson helped get Mr. Annan a job at the company.

After both men left Cotecna, they became partners in a consulting business in Africa, according to investigators in the United States and Europe . Kojo Annan's lawyer, Clarissa Amato, declined comment for publication.

The Swiss investigation concerns Mr. Wilson's activities in Geneva . Mr. Kwakwa said Mr. Wilson had been an intern at the intellectual property agency "decades ago" when his father was posted in Geneva as an ambassador from Ghana . Mr. Kwakwa said that more recently Mr. Suedi told officials there that he and Mr. Wilson had been doing work that involved "benevolent, nongovernmental organizations." Mr. Kwakwa said the outside work had been approved by the agency.

In a March interview, Mr. Suedi said that he and Mr. Wilson had done some consulting work in connection with the prospective purchase and management of hotels in Tanzania , but that it "hadn't worked out."

Officials said that after opening the investigation last year, Judge Schmid ordered Mr. Wilson jailed for nine days, during which investigators reviewed his computer files and bank records. Investigators said he was released after he agreed to cooperate with the inquiry and acknowledged having received a large consulting fee from the BPS construction consortium - comprising Béric S.A., Perret and Seydoux-DMB, - that renovated the headquarters. He also acknowledged having made a payment to Mr. Suedi.

The agency is one of several United Nations agencies and affiliated organizations whose management practices have recently been criticized by internal and outside reviews. A review published in February by United Nations officials in New York recommended substantial changes in the agency's budgeting and personnel policies.
"The inspectors believe a headquarters review and needs assessment should be undertaken urgently," says the review, a copy of which is posted on the agency's Web site.

The New York Times, 16 April 2005:
http://www.nytimes.com/2005/04/16/in...html?th&emc=th

mbona habari hiyo haijatoa hukumu kwamba balozi suedi amevuta hiyo pesa? je balozi suedi amefikishwa mahakamani kutokana na hili suala? kama alifikishwa nini ilikuwa hukumu yake?
 
Kitu hii iko mtandaoni ndugu fanya home work yako. Au muulize mwenyewe lazima ana jibu lakini najua atajibu kama RA alivyokuwa anajibu alipoulizwa maswali "Mimi sijui mambo hayo", "Sijawahi kutuhumiwa"! Unadhani atakubali kuwa ana tuhuma? Thubutu! Ndio sababu ana mshiko wa kugawa ovyo ili apate ubunge. Kalagabaho!
 
habari ya mtandaoni si ndio hiyo ameitoa fmes hapo juu au kuna zaidi ya hiyo?

sio tuhuma peke yake bali na uchunguzi umefanyika kama habari ya gazeti hapo juu inavyosema. swali langu lilikuwa jee baada ya huo uchunguzi matokeo yalithibitisha hizo tuhuma?
 
Jamani kwani unataka kutuambia hii ni kazi ya familia? Yaani familia yote tunafanya kazi hiyo niliyo iwekea wino wa Yanga?
- Mkuu wangu hivi hizi hoja zinaweza vipi kulisaidia taifa? Msioweza mawazo mbadala tafuteni mahali pengine jamani, hapa tutaendelea kupingana kihoja tu ya familia yako au yangu hayana nafasi hapa!

Respect.

FMES
 
FMES,
Hamna misifa, ila simple fact ni kwamba kwenye maisha tunazidiana maarifa hatuko sawa, wewe ni wewe mimi ni mimi, usikimbie kivuli chako kwa kunisingizia mimi ndio tatizo lako hapana angalia kwenye kioo utamuona tatizo lako sio mimi, mimi ni Capitalist and I live it tena every minute of mylife, sina mentality za kijamaa jamaa za kukataa who I am, wala kujifcha maana nina deals za hela nyingi sana mkuu wangu ambazo siwezi kuzifanikisha kwa kujificha, kwako ni misifa kwangu ni siasa na biashara.
Mkuu hapa huwa unanimaliza!
 
FMES,

Mkuu hapa huwa unanimaliza!

- Hapana hatuwezi kuchanganya facts na opinions, sasa ninajitayarisha kukutana kwa chakula na Muungwana one on one, ninapokutana naye kama ninavyofanya mara kwa mara, ninapata nafasi ya kumfikishia kero nyingi hasa za kutoka hapa JF, sasa nifanye nini eti nikisema hapa inakuwa ninataka misifa?

- Few weeks ago, nilikuwa na Mkuu wetu wa majeshi one on one, sasa eti nikisema ninataka misifa?

- Hapana hizi ni facts, sasa asiyetaka hizi habari nitamsaidiaje? I can't siwezi ndivyo tulivyoumbwa kila mmoja na ubavu wake!

Respect.

FMES

FMES,
Mkuu wangu utashindana na hawa vijana hadi lini..
Kwanza naomba somo hapa hivi - nafasi ya Spika wa Bunge huwa inagombewa?..
 
FMES,
1. Mkuu wangu utashindana na hawa vijana hadi lini..

2. Kwanza naomba somo hapa hivi - nafasi ya Spika wa Bunge huwa inagombewa?..

- Hapana mkuu hatushindani ila tunaelimishana tu, JF ni mapambano ya fikra na to me it is fun, maana ukiweza kukabili siasa na vigongo vya JF basi hata za bongo haziwezi kukupa shida.

- Ni kweli mkuu wabunge huwa wanagombea U-Spika, mara ya mwisho Msekwa aligombea na Akukweti pamoja na Sitta, mpaka leo sijajua kama mtu asiyekua mbunge anaweza kugombea uspika, maana Msekwa aligombea akiwa sio mbunge, aliyeshinda alikuwa Sitta, ni kweli huwa wanagombea ndani ya bunge.

Otherwise, tuliyaweza ya bahari kukimbia ujamaa, haya ya JF ni madogo sana.

Respect.

FMES!
 
Back
Top Bottom