Kagasheki hana ubavu wa kuisafisha kadhia hii

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Balozi Kagasheki amewafukuza baadhi ya watendaji wa wizara yake kwa kadhia ya usafirishaji nje ya nchi wanyama hai.

Kwa maoni yangu mtu pekee ambaye angeweza kufanya hivyo ni Rais, na siyo sasa bali miezi kadhaa nyuma.

Wahusika wakuu ambao walitakiwa wawe wameshafunguliwa mashitaka na kufungwa kwa uhaini siku nyingi ni pamoja na wafuatao:
- watendaji wakuu wa idara ya usalama wa taifa
- watendaji wakuu wa wizara ya ulinzi

Wale wote walionufaika kifedha walitakiwa kuwa wameshafilisiwa siku nyingi.
 
So kwa mtazamo wako ni bora angewaacha tu tuendelee kimazabe mazabe

Nilidhani utatumia mfano huu bora wa kagasheki kumuonyesha JK hata yeye na mawaziri wake wanaweza
Lakini sasa unamdiscarage kagasheki hata kwa kizuri kidogo alicho thubutu
 
Back
Top Bottom