Kagame Says UN Reports Worsening Regional Problems

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
May 13, 2016 at 5:46 pm
By Dan Ngabonziza

President Paul Kagame says the United Nations ‘Group of Experts’ is worsening problems of African countries’ instead of addressing them.

Yesterday, a latest UN Group of Experts report leaked to the media, accusing Rwanda of aiding Burundian rebels seeking to topple President Nkurunziza.

“People who write these could be mobilized to be useful to address rather than exacerbate countries problems,” Kagame told local and international media on Friday.

The UN Group of Experts report, which regional peace and security analysts have always criticized as ‘biased’, accuses Rwanda of providing training, financing and logistical support to Burundian rebels.

Global media quoted the report saying a panel of six independent experts, appointed by the UN to monitor Security Council sanctions on Democratic Republic of Congo, said in February that 18 Burundian combatants in eastern Congo said they had been recruited in a refugee camp in Rwanda in mid-2015.

Rwanda, a neighbour with Burundi, was among the first to receive thousands of fleeing Burundian refugees.

The country has set aside over $94 million this year to cater for about 100,000 Burundian refugees.

With its support to the welfare of Burundian refugees, Rwanda has not been praised, but instead faced a negative reaction from its neighbour.

In recent months, Burundi government publicly blamed Rwanda for its current political crisis that has claimed nearly 500 people since re-election of President Nkurunziza in July last year.

Responding to questions from journalists, President Kagame said Burundi needs to deeply address its internal problems and stop blame games.

“The most important thing for Burundi is to look at their problem as their own not as a problem that originated elsewhere.”

Indeed, in a similar presser in December last year, President Kagame described Burundi’s blame on Rwanda as ‘Childish’.
 
hebu ona sasa, na hizi hasira zako zote yule ndugu yako Gama alikuwa anataka atukutanishe... si utanitoa roho bure? kweli ukabila mbaya! jMali
Mimi sio mkabila mchambawima1,shida yangu kwa paka ni jinsi anavyowanyanyasa watu wake. Angalia alivyomfunga jela Victoire Ingabire, tazama namna anavyowafunga maswahiba wake, ona alivyo mmbinafsi kwenye uongozi. Amebadilisha katiba kwa ajili yake peke yake. Simchukii kwa ututsi wake na wala simchukii kwa kuwa kiongozi. Ninachukia matendo yake. Suala la yeye kuingilia masuala ya ndani ya Burundi halina shaka. Anataka Burundi iongozwe na mtutsi na wanajulikana. Kitu hicho kinatukera wapenda haki na amani. Suala la mimi kukutana na wewe halina tatizo pengine tunaweza tukajadiliana ukaona jinsi paka anavyotenda kinyume na matakwa ya sheria na haki za kibinadamu. Kwanza hakuna kabila linaloitwa tutsi, hutu wala twa. Hizo ni jamii tu kulingana na muonekano wao, tatizo la Rwanda na Burundi ni baadhi ya watu wanajifanya wao tu ndio wanaopaswa kuongoza au jamii zao tu ndio zinastahili kuongoza nchi. Kitu ambacho sio sahihi. Ninajua huwa unakuja Tanzania mara kwa mara,please, ukija nitafute tuonane ana kwa ana tunywe juice na kahawa pamoja na tujadiliane mustakbali wa africa kwa ujumla.Karibu.
 
nchi gani haina magereza? huyo mwanamke unayemsema ni MHAINI nashangaa hata kwa nini kapewa kifungo kifupi! Burundi hamna lolote la kurufanya tuwaingilie maswala yenu! kwanza AMSTEL zishawamaliza... vilevile labda uwadanganye kina Masunga Maziku wasio wajuwa! kwetu sisi muongozwe na MHUTU/MTUTSI wala haituhusu na haitusaidii chochote! kumbuka tena chini ya hao hao watawala wa "kitutsi" ndio waliowatenga ndugu zangu huko Burundi... mliwawekea kila aina ya vizingiti... mrundi kwenda secondari ilikuwa ni 50% lakini kwa mkimbizi wa kinyarwanda "mtutsi" ilikuwa 80% , hakuna kazi nyingine zaidi ya ualimu, kujengea kambi ndugu zetu sehemu iliyoshindikana kwa magonjwa ya kila aina, hayo hayakutosha mkaanza kumpigia kelele Raisi wenu eti kwa nini anawaacha wanyarwanda wakijenga nyumba za kuishi... jibu lake sijuwi kama unalikumbuka? alisema, mkiona kuna aliyejenga nyumba akatia matairi basi mumtaalifu, unaelewa maana yake wewe? kwa kifupi anzeni mpendane ndio mtaweza kupendana hata na wengine! hizo kamba zako wape wana jamii wasiowajuwa... kwangu nyie wote sawa tu! WARUNDI!
 
hebu ona sasa, na hizi hasira zako zote yule ndugu yako Gama alikuwa anataka atukutanishe... si utanitoa roho bure? kweli ukabila mbaya! jMali
Mimi niko pro reconciliation na si kuendekeza upumbavu wenu wa kudhaniwkuwa kuangamiza opponent tribe ndiyo solution, ukipenda pokeA ushauri wa bure :auaye kwa upanga atauawa kwa upanga
 
nchi gani haina magereza? huyo mwanamke unayemsema ni MHAINI nashangaa hata kwa nini kapewa kifungo kifupi! Burundi hamna lolote la kurufanya tuwaingilie maswala yenu! kwanza AMSTEL zishawamaliza... vilevile labda uwadanganye kina Masunga Maziku wasio wajuwa! kwetu sisi muongozwe na MHUTU/MTUTSI wala haituhusu na haitusaidii chochote! kumbuka tena chini ya hao hao watawala wa "kitutsi" ndio waliowatenga ndugu zangu huko Burundi... mliwawekea kila aina ya vizingiti... mrundi kwenda secondari ilikuwa ni 50% lakini kwa mkimbizi wa kinyarwanda "mtutsi" ilikuwa 80% , hakuna kazi nyingine zaidi ya ualimu, kujengea kambi ndugu zetu sehemu iliyoshindikana kwa magonjwa ya kila aina, hayo hayakutosha mkaanza kumpigia kelele Raisi wenu eti kwa nini anawaacha wanyarwanda wakijenga nyumba za kuishi... jibu lake sijuwi kama unalikumbuka? alisema, mkiona kuna aliyejenga nyumba akatia matairi basi mumtaalifu, unaelewa maana yake wewe? kwa kifupi anzeni mpendane ndio mtaweza kupendana hata na wengine! hizo kamba zako wape wana jamii wasiowajuwa... kwangu nyie wote sawa tu! WARUNDI!
Hawa interahamwe think kila mtu ni mjinga kama wao, wakipata nafasi hao ni kuua tuu maana ndio walichofundishwa, imagine Jmali ndio Raisi na vice wake ni huyu mwehu Vyuma
 
Mimi niko pro reconciliation na si kuendekeza upumbavu wenu wa kudhaniwkuwa kuangamiza opponent tribe ndiyo solution, ukipenda pokeA ushauri wa bure :auaye kwa upanga atauawa kwa upanga
Reconciliation my azz,kawadanganye wasiowajua
 
Hawa interahamwe think kila mtu ni mjinga kama wao, wakipata nafasi hao ni kuua tuu maana ndio walichofundishwa, imagine Jmali ndio Raisi na vice wake ni huyu mwehu Vyuma
Report ya UN sijaitoa mimi wala sikushiriki kuiandaa. Walioiandaa ni wazungu ambao serikali yenu ya Kigali mnawaamini sana. Sasa sijui kati ya mimi, wewe na paka nani mwehu. Mwehu ni yule anayeingilia masuala ya watu yasiyomuhusu, ni yule anayekataza wenzake wasifanye jambo fulani ilhali yeye anafanya hilohilo. Mwehu ni yule anayetumwa na mwehu kumtetea kila mahali wakati anajua anatetea uongo. Sifa za wehu paka anazo zoooote, na wewe anayekutuma umtetee kila mahali........
 
Back
Top Bottom