Kagame: Kujengewa ofisi za AU ni aibu kwa Afrika

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Baada ya kumalizika ujenzi wa makao makuu mapya ya au hatimae rais wa rwanda ameibuka na kusema ni aibu nzima kwa afirka...rais kaagame alisema hayo a mkutano wake wa kila mwezi na waandishi wa haabari mjini kigali ahadi aliotoa wakati wa uchaguzi

jengo la makao makuu ya au ambalo limemkera mh rais linagarimusoller million 200 limejengwa addis ababa
alisema ujenzi wa jengo hilo ni ujinga na upumbavu kwa waafrika..afrika tunaitaji kufanya kazi kwa bidii na sio kukimbilia wadhamini watujengee hata jengo la ofisi yetu wenyewe hii inatia kinyaa alisema mh kagame

alisema hii ni aibu na tunaitjai kujifunza kutokana na makosa akaomba hili lisirudiwe tena hata kama atokuwepo madarakani... Amesema china imeamua kujenga jengo hili kubwa afrika wakati ikjua afrika ni kubwa na ina mali za kutosha kujenga jengo letu wenyewe...akasema ujenzi huo sio. Tu unaakisi uwezo mdogo wa afrika katika kuiletea maendeleo bali inaweza kuwa sababu ya kuikaribisha china kuendeleza ushawishi wake na kujinyakulia rasilimali zetu bila kupinga

kazi ipo mwenye mashikio na ashikie

src mwanachi
 
Back
Top Bottom