Kagame akaa hoteli ya sh milioni 30 kwa siku New York, Kikwete je?

Sidhani ka ni kweli Kagame kutumia kiasi kikubwa namna hiyo! angekuwa Vasco dagama nisingeshangaa si kagame na hii inawezekana kabisa ikawa ni political fouls ili watu wasimseme KJ tu hali wapo viongozi wanaospaend zaid yake, purely cooking UNLESS UJE NA SOURCE YA HABARI HII YENYE KUAMINIKA!YANGU NI HAYO!
 
Back
Top Bottom