Kafumu umetuangusha

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Mbunge wa Igunga(Dalaly Kafumu)umeshindwa kuitumia vyema nafasi yako uliyopewa na spika. Bungeni leo,kwa kweli hukuonesha usomi wako na umeonesha ulivyo na majungu eti wanafunzi wako wanaendesha magari ya ajabu,lipi gari la ajabu Tanzania eti pia Tanzania kuna rushwa,umesahau ulivyokuwa ukitoa rushwa wakati wa uchaguzi? Hukutoa hoja 7a kusaidia Igunga yako pole sana
 
Alikuwa anatoa nuksi ya kutoongea tangia ameingia bungeni,,ameshtuka kijana Nassari dogo janja jana kumwaga nondo akahisi naye anaweza...
 
For the 1st time ndo kaongea bungeni jamaa hajisomi, ndo kachaguliwa kwa ajili ya wananchi, wakati mwenzake amechaguliwa juzi mwezi wa 4 kashauliza maswa na michango ya kutosha, hapa ndo tunaona tofauti kati ya kiongo na bora kiongozi.
 
Hajaangusha MTU huyu ingekua vizuri zaidi endapo ungefuatilia background yake. Dah! Yana mwisho haya. 2015 iko around the corner. Wake up pipooooz!!
 
Alikuwa anatoa nuksi ya kutoongea tangia ameingia bungeni,,ameshtuka kijana Nassari dogo janja jana kumwaga nondo akahisi naye anaweza...

Hawezi kushindana na hiki kizazi, yeye na wenzake ni zao la ufisadi kwahiyo hawana hoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom