Kafumu kuwa waziri wa Nishati na Madini

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Taarifa za uhakika ambazo kwa siku kadhaa nimekuwa nazifanyia kazi zimethibisha kwamba Kafumu anachukua kiti cha Ngeleja na any minute Mkulu anafanya changes .Nyeti zinamwagwa kwamba Kafumu ndiye haswa anayetakiwa maana anaijua vyema wizara na mchakato wao madinji na mambo yao wenyewe .

Jana nimemuona Kafumu anaingia madini na kupelekea mlinzi kuacha kazi ya kuongea na wateja akiwa anamshangaa Kafumu na mkoba wake anatinga wizarani .Lakini pia nilishangaa kwamba Kafumu hakuandika jina lake kama mgeni na alipita hata bila salaama kwa mlinzi yule na wengine pale as if alikuwa alikuwa anaingia ofisini kwake kawaida japokuwa wana tabia ya kutosalimia wateja wao hadi wafuatwe ofisini .

Source ni Lunyungu at work .
 
Ni mchapa kazi mzuri kwa watakao muweka, na ndiye anajua siri nyingi za viongozi kuhusiana na madini yetu na kutoboka kwa mifuko ya Tanesco. Mungu ibariki Tanzania
 
Mkuu huyu alihusika kwa karibu sana na kusaini mikataba ya uchimbaji wa dhahabu yoyote. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya lolote ambalo litatufurahisha Watanzania. Tusubiri tuone kama akipewa nafasi hiyo ataleta mabadiliko ambayo Watanzania wengi tunayataka.
 
Taarifa za uhakika ambazo kwa siku kadhaa nimekuwa nazifanyia kazi zimethibisha kwamba Kafumu anachukua kiti cha Ngeleja na any minute Mkulu anafanya changes .Nyeti zinamwagwa kwamba Kafumu ndiye haswa anayetakiwa maana anaijua vyema wizara na mchakato wao madinji na mambo yao wenyewe .

Jana nimemuona Kafumu anaingia madini na kupelekea mlinzi kuacha kazi ya kuongea na wateja akiwa anamshangaa Kafumu na mkoba wake anatinga wizarani .Lakini pia nilishangaa kwamba Kafumu hakuandika jina lake kama mgeni na alipita hata bila salaama kwa mlinzi yule na wengine pale as if alikuwa alikuwa anaingia ofisini kwake kawaida japokuwa wana tabia ya kutosalimia wateja wao hadi wafuatwe ofisini .

Source ni Lunyungu at work .

cheque yako aliniachia David Cameroon inakusubiri,uwahi kuja kuichukua!!!
 
Lunyungu unadhani Uwaziri ni mtu anapewa tu?nafasi zingine zinahitaji utashi wa kisiasa na baraka za "wakubwa"

Je wamekubali?

Yule fisadi aliyetumia posho za madini kununua kura Igunga?

mmmmmmmmmmmmmmmmmh
wewe bwana huwa sikuelewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kinyonga
si bora uwe kama mimi engmtolera naeleweka mpagani?
 
Lunyungu unadhani Uwaziri ni mtu anapewa tu?nafasi zingine zinahitaji utashi wa kisiasa na baraka za "wakubwa"

Je wamekubali?

wewe na mimi hatujui kama hao wakubwa wamekubali la hasha,nadhani tuichukulie kama tetesi tu

ingawaje malanyingi ukiyasikia tu hapa ujue tayari ndio yameiva hivyo
 
kondoo hata akiwa na maandishi ya kiarabu ni kondoo.
Hamna mabadiliko tutakayo yaona, hadi CCM ing'oke madarakani

kondoo ni mnyama mpole sana hana ufisadi labda ulikuwa unamaanisha mbuzi ndiye mwenye makeke mengi sana..................
 
Wewe ni Msemaji wa Taasisi ipi? Ikulu au Wizara ya Madini na Nishati. Waziri Mwenye dhamana analijua hilo? Ona sasa umharibia Mhe. Kafumu, hata kama ndivyo ilivyokuwa ilikuwa sasa hapati tena.
 
Sasa hivi nimekwisha fika mahali siamini kiongozi yeyote anayetokea kwenye chama cha magamba hata akiwa mzuri kiasi gani the moment akiingia ofisini anakutana na corrupt system hivyo kufanya ashindwe kufanya maamuzi yake kwa utashi.Kwa hiyo aje sijui huyo Kafumu au yoyote toka magambani there is no any future hope.
 
Back
Top Bottom