Kafumaniwa

Hawa nao waliendaje bila utaalamu! Yaaani cku izi unaenda na silaha zote! Unanunuaaaaaaaa ama basi ntawafundisha siri ningine halafu mwendelee kuwa wazinifu!

Tabu yote ya nini mpaka ujikoki na mapisto. Si utoe talaka tu uwe huru
 
Hapo sasa na ndio maana hii ilipotokea ilikua inafichwa fichwa mi alieniambia aliambiwa na dada wa marehemu na ni baada ya mkaka kulazwa na kuwa na hali mbaya ina maana angepigwa kidogo tu na kupona hii stori ingefichwa hata tusingesikia kabisa

Kwa hiyo kuna haja ya kwenda na helmeti kwenye wizi.....
:focus:......hili la kuua (tena kwa fumanizi lilipangwa) its way to far....
Hivi kupiga inasaidia nini? Ningeelewa kama ingekua ni fumanizi la bila taarifa.....
 
uamuzi walio chukua haukua sahihi,na hawakupaswa wachukue sheria mikononi mwao,laitani ningekua mimi ndie ninae ibiwa baada ya kwisha pata uhakika na nakhisi nafsi imesha udhika bila ya kipingamizi ningali anda talaka tu.
 
Hao wapuuzi waombe Mungu jamaa asife,akifa mazee hiyo ni mada na wala sio manslaughter kwa sababu wahusika walikaa wakapanga (malice aforethought),adhabu yake ni kitanzi kwa wote wawili,mke wa mtu na mme wa mtu.Hivi siku hizi kuna K na M za kugombea kweli?
Mleta thread amesema jamaa tayari ameisha:rip::rip: muda si mrefu
 
ilitakiwa waadhibiwe wote y mwanaume tuuuu! namuonea huruma huyo mmama aliyepanga na mume wa mwenzie wafanye fumanizi then kaadhibiwa mumewe tu.... imekula kwake ujue! kwan yupo mbioni kuitwa mjane kwa kujitakia kwan kila ki2 kilikua kwenye mpango ambao na yeye alishiriki! duh! kasheshe kama wana offsprings kazi kwake kuwalea...

Yawezekana waliadhibiwa wote ila si unajua mambo ya fumanizi labda mwende na waandishi wa habari ndio itasikika kwa sana. Hata kwa huyu mkaka na sisi tumesikia kwa sababu tu alipata majeraha makubwa na matokeo yake kumsababishia kifo ila naamini angefumaniwa na kupigwa kisha kutopata madhara yoyote hata sisi tusingesikia yangeisha kimya kimya.

Ushauri:
Msipende kuchukulia vitu kiutani utani jamani hii habari ni ya kweli kabisa kama kuna mtu anatembea na mke wa mtu yaweza kukuta yaliyomkuta mwenzio na ukaacha watoto wanateseka
 
Maty, halafu sijaelewa hawa wawili walipanga baada ya kuua watafunga ndoa au?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mambo mengine bwana mi bado na swali silielewi kwanini jamaa aliacha mkewe bila kumshughulikia na huyu dada hakushtukia hilo au aliamua kufunga macho.
 
When you are done wit you wife or husband, divorce him or her. Si unachovya chovya. Hii iwe funzo kwa wengine. Respect your marriages. Hata mimi naua walahi nikimjua mwizi wangu though I may not kill my husband but the other woman.

Mi mwizi njoo niue!!!
Wakati unakuja uhakikishe hujawahi kuiba mume wa mtu tangia umemapata akili ya kujua mema na mabaya.
Na huajawa ku mcheat mumewe uliye naye sasa.
Sawa?
 
Yawezekana waliadhibiwa wote ila si unajua mambo ya fumanizi labda mwende na waandishi wa habari ndio itasikika kwa sana. Hata kwa huyu mkaka na sisi tumesikia kwa sababu tu alipata majeraha makubwa na matokeo yake kumsababishia kifo ila naamini angefumaniwa na kupigwa kisha kutopata madhara yoyote hata sisi tusingesikia yangeisha kimya kimya.

Ushauri:
Msipende kuchukulia vitu kiutani utani jamani hii habari ni ya kweli kabisa kama kuna mtu anatembea na mke wa mtu yaweza kukuta yaliyomkuta mwenzio na ukaacha watoto wanateseka
Huwa hawaamini hadi siku yawakute ndio utasikia wanasema huyu shetani huyu
 
Namuonea huruma mwanamke anayejitengenezea ujane kwa mikono yake mwenyewe. Biblia inasema 'mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe' Ngoja nyumba ibomoke(mume afe) akose mahali pa kukaa, wengine wajifunze kutoka kwa makosa yake, wajiwekee sawa namna ya kuwarekebisha wapenzi wao wanapokosea.
 
Mi mwizi njoo niue!!!
Wakati unakuja uhakikishe hujawahi kuiba mume wa mtu tangia umemapata akili ya kujua mema na mabaya.
Na huajawa ku mcheat mumewe uliye naye sasa.
Sawa?
LD hivi huwa haujui tu kuwa mwizi akiwa anaiba anaona swafii ila siku yeye akiibiwa anakuwa kama vile katiwa makaa ya mawe
 
duh!!hadi machozi yamenitoka.
hii habari inasikitisha sana.
Kufumania kunauma ndio lakini kwanini mpigane?why dont u just walk out?
Ona sasa madhara yake..hasira ni pepo jamani yapaswa kulikataa
na itamuhaunt for the rest of her life huyo mwanamke..aa natamani nimchape viboko
mtu mmekutana tu wote mna meno 32 ndo akufanye uue..mxii.
maskini yule kaka.
R.I.P mkaka ..
 
Tutafanya analysis nyingi tu kwa mitazamo tofauti. Ila ukweli wa fumanizi anaujua muhusika. Ukiwa pembeni ni rahisi kusema kwa nini na wao hawakufanya mapenzi mbele yao? Kwa nini hawakufikiria watoto? Kwa nini amepigwa mwanaume tu? Watakuwa walipanga si manslughter. Inawezekana walipanga kufanya mapenzi mbele yao walipofika eneo la tukio akili ikawehuka? Majibu shahihi ni magumu hata kwa wahusika wenyewe. Yaani mtu unageuka shetani kwa muda unapomfumani mtu uliyemkabidhi roho yako. Acheni tu. Mimi nawaombea kwa Mungu wakati huu mgumu walionao wahusika wote.
 
Kwenye hii ishu kuna UNTOLD STORIES nyingi tu
 
Hizi dini za mfumo dume

Namuonea huruma mwanamke anayejitengenezea ujane kwa mikono yake mwenyewe. Biblia inasema 'mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe' Ngoja nyumba ibomoke(mume afe) akose mahali pa kukaa, wengine wajifunze kutoka kwa makosa yake, wajiwekee sawa namna ya kuwarekebisha wapenzi wao wanapokosea.
 
...Mwenyezi Mungu amsadiie huyu Braza asipate Permanent Brain Damage.
Dah,....

Mkewe ndio kusema sasa anamuuguza baba watoto wake, au?
Ingekuwa nchi za wenzetu, wote watatu wangekuwa wanaisaidia polisi sasa.

Hii kesi sitaihukumu mpaka nijue hatma ya huyo kaka.
 
Maty, halafu sijaelewa hawa wawili walipanga baada ya kuua watafunga ndoa au?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mambo mengine bwana mi bado na swali silielewi kwanini jamaa aliacha mkewe bila kumshughulikia na huyu dada hakushtukia hilo au aliamua kufunga macho.

Chauro my dia mimi nadhani hawakupanga kuua inawezekana walitaka kuwakomesha tu lakini nadhani mungu aliamua tu kuwaumbua na inawezekana hata mwizi mwanamke alipigwa ila yeye hakuumia sijapata ya upande wa pili kwa kweli
 
Back
Top Bottom