Kafumaniwa, Kakimbia Kaacha Vitambulisho

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Nimepigiwa simu kuna jamaa amefumaniwa ndani ya chumba cha jirani akijinjari na mke wa jirani yake usiku wa kuamkia leo. Aliambiwa kwamba mume kasafiri basi jamaa akajiachia kinomi. Ghafla jamaa karudi majira ya saa sita hivi. Bila kufanya ajizi jamaa ndani ya taulo katoka balu kupitia mlango wa nyuma kuhofia kipondo na aibu lakini ndani ya suruali aliyoacha mna pesa na vitambulisho vyake. Hadi sasa jamaa hajaonekana mtaani na chumba chake kimefungwa na kufuli kwa nje. Unaweza kubashili hatima ya tifu hili? Kumbuka kwamba jamaa hakutonywa na mtu wala nini kuhusu uwepo wa mwanaume kwa mke wake!:angry:
 
mhh hizo thread zako, nina mashaka kidogo....mara sms mara umepigiwa cm....cheiii
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hmaster hizi thread zako leo mmmyhhh

Mara sms, mara simu, mara majaribu ya shem wako????!!!!!!!!!!!!!!! Wewe tu???

Haya bana
 
Hivi kama hizi story zote umetunga unapata faida gani haswa?GROW UP!
 
Nimepigiwa simu kuna jamaa amefumaniwa ndani ya chumba cha jirani akijinjari na mke wa jirani yake usiku wa kuamkia leo. Aliambiwa kwamba mume kasafiri basi jamaa akajiachia kinomi. Ghafla jamaa karudi majira ya saa sita hivi. Bila kufanya ajizi jamaa ndani ya taulo katoka balu kupitia mlango wa nyuma kuhofia kipondo na aibu lakini ndani ya suruali aliyoacha mna pesa na vitambulisho vyake. Hadi sasa jamaa hajaonekana mtaani na chumba chake kimefungwa na kufuli kwa nje. Unaweza kubashili hatima ya tifu hili? Kumbuka kwamba jamaa hakutonywa na mtu wala nini kuhusu uwepo wa mwanaume kwa mke wake!:angry:

Mbona jibu hapo rahisi, unaripoti polisi haraka sana kuwa umeibiwa poshi ikiwa na fedha na vitambulisho.
 
kumbe unachohitaji nitukubashilie tuu? kwanini usingemtafuta shekhe Yakhaya?
 
Mbona jibu hapo rahisi, unaripoti polisi haraka sana kuwa umeibiwa poshi ikiwa na fedha na vitambulisho.

Malizia kabisa kuwa kaibiwa na suruali maana jamaa aliacha na suruali huko ugonini. Hata hivyo wachangiaji waliotangulia wameonesha kuwa na mashaka na ukweli wa hii sredi na inaonekana msredishaji kwa siku ya leo tu ameshatoa sredi kadhaa ambazo zinaonekana kama vibomu vile...!
 
jana nilisema katika thread za hyu jamaa zile mbili.......nikamwambia wewe ni muongo....upuuzi mtupu
 
Nimepigiwa simu kuna jamaa amefumaniwa ndani ya chumba cha jirani akijinjari na mke wa jirani yake usiku wa kuamkia leo. Aliambiwa kwamba mume kasafiri basi jamaa akajiachia kinomi. Ghafla jamaa karudi majira ya saa sita hivi. Bila kufanya ajizi jamaa ndani ya taulo katoka balu kupitia mlango wa nyuma kuhofia kipondo na aibu lakini ndani ya suruali aliyoacha mna pesa na vitambulisho vyake. Hadi sasa jamaa hajaonekana mtaani na chumba chake kimefungwa na kufuli kwa nje. Unaweza kubashili hatima ya tifu hili? Kumbuka kwamba jamaa hakutonywa na mtu wala nini kuhusu uwepo wa mwanaume kwa mke wake!:angry:

Mmmhh maswali ni mengi!!!!
 
Back
Top Bottom