Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
Toa mifano. Kwamba ni lini na wapi viongozi wa chadema walizungumza mambo ya kipuuzi tukawapigia makofi.
au wewe ni kafulia?
Siyo rahisi kabisa kwa viongozi wa chadema kuongea 'upuuzi' unajua upuuzi hauna standard, kama mnataka CDM wote wawe na akili moja ya ''zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama/ au mwanzisha chama na mkwewe'' hautaona huo upuuzi.
Ila tumeona kweli chadema ikiwafukuza wale wote wanaozungumza 'upuuzi' kama Wangwe, Kafulila, na sasa mnamtaka naibu katibu mkuu!
sijaona kabisa chama chenye nguvu ya kuwa na umoja katika lolote lile kama Chadema, hapo awali CCM walikuwa hivyo kwenye issue za ufisadi!!! kwa sasa chadema kiko juu ya CCM kwa kila kitu! mmekosa rais tu!!! si umeona juzi ccm wamesema wamtoe Sita, woote wakakubaliana, si uliona katika wanachama million 4 wa ccm hakuna aliyetaka kuchukua form za urais eti wote wanataka JK aendelee, japo Shibuda alitaka kuchukua akawekewa mizengwe? 'mnaye' huyu tunasubiria tu!!
kwa misimamo yako na maneno yako sijaona tofauti ya CDM na CCM, ispokuwa kwenye herufi za kati tu, 'C' na 'D' that shows chadema is another latest version ya CCM
Chadema is high time to know politics and politician, is high time to know how will you perfectly deal with them!