Kafulila kafulia

hapa panajadiliwa nini? hoja ya kafulila au kafulila mwenyewe? hoja yake kama ilivyo naona imetulia, yeye mwenyewe binafsi hanihusu kwa sasa hivi ...
 
ni mtitilliliko wa mawazo mapya, wakati tulionao wabunge lazima wawe wachunguzi, wasome saana, na wasikilizaji ili waweze kuchaguliwa tena, safi kafulila kwa hili songa mbele, chama tofauti mawazo sawasawa.
 
Kwani kanuni za Bunge zinasemaje?

Huenda hata kanuni za bunge wanmweza wakachakachua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom