Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

miradi bubu we need kaFULIA what for??,he is big tym myopic crap with no vission or mission, and a deadly Opportunist!
so he can as well go rot in hell we ve done without him, doing without him and we ll do without him!
afterall they say show me ya friends and i ll tell u who your... so Mbatia = Kafulila = BWABWAZ
Ukiwa shabiki wa Chadema raha sana ukitukana mtu unapewa Thanks kama huyu jamaa kuna watu wamefurahishwa na matusi yake eti wamempongeza
 
Huyu ni mbunge wa chama cha Upinzani ambaye nae anajinasibu kwamba anatetea umma, amekiponda Chadema kwa kusema kuwa Maandamano yao si lolote si chochote na Kikwete kuwazungumzia ni kuwapa kichwa, eti kama wanatoa matamko yanyohatarisha amani vyombo vya dola vipo viwashughulikie.

Maoni Yangu:
Kafulila na wenzake wa 'Upinzani' CUF, hivi kwa nini kwa kushirikiana na CCM hawaishi kuiandama Chadema? Mimi najua huo ni wivu wa Kike na woga baada ya kuona Chadema wanakubalika na wanaungwa mkono na wananchi wengi.
Go! Go! Go! Chadema.
Bwn Kapotolo huyu Bwn Kafulira ni SISIEM C yupo pale kwa ajili ya kuvuruga upinzani wa kweli. Kama huyu Bwn anasoma hii jamii forum ajue kabisa kuwa tunamuona kama kibaraka wa JK na ni SISIEM C.
Atajiharibia maisha yake ya kisiasa, afanye upinzani wa kweli aache hizo siasa za maji taka.
Kama ni SISIEM asijifiche nyuma ya pazia la upinzani, awe suportive kwa upinzani si kuangusha opposition. Achunge saana na kulinda kiti chake huko Kigoma.
 
Huyu ni mbunge wa chama cha Upinzani ambaye nae anajinasibu kwamba anatetea umma, amekiponda Chadema kwa kusema kuwa Maandamano yao si lolote si chochote na Kikwete kuwazungumzia ni kuwapa kichwa, eti kama wanatoa matamko yanyohatarisha amani vyombo vya dola vipo viwashughulikie.

Maoni Yangu:
Kafulila na wenzake wa 'Upinzani' CUF, hivi kwa nini kwa kushirikiana na CCM hawaishi kuiandama Chadema? Mimi najua huo ni wivu wa Kike na woga baada ya kuona Chadema wanakubalika na wanaungwa mkono na wananchi wengi.
Go! Go! Go! Chadema.

When will you respect women
 
kafulila hajui alichotumwa na wa wana kigoma kusini ,hajui jimbo la kigoma kusini kuna matatizo meeengi halafu yeye anajidai anataka kupambana na vichwa vya cdm ,ataumia bureeeee
 
Nilikwisha andika post siku moja,biashara ya CUF na CCM ya kupindisha seria kuhusu upinzani rasmi bungeni baada ya kupitishwa atakuwa hana pakushika ndio yanaonekana sasa,maana anaropoka tu kila kukicha na hana kazi anazurura tu,anajua CDM kule kuna kazi ni chama chenye mashiko anaona wivu wabunge wenzake wa CDM walivyo na kazi mara wako huku mara kule jamani anatamani na yeye angekuwapo,NCCR wanafanya nini karibu wote wamekuwa na tabia ya kuisema CDM katika vyombo vya habari,ndio kazi yao,ya ukombozi wa kweli ipo CDM ndio maana hata jk anaweweseka anapata taabu jinsi jamaa wanavyofanya kazi,CCM haiwezi kufanya hivyo hakuna atakaye jitokeza.Mwisho nasema Kafulia anajuta kuondoka CDM ukivuliwa madaraka sio lazima uhame chama unaweza ukakitumia chama hichohicho kujitengenezea mazingira mengine ya kufanya kazi.
 
Huyu ni mbunge wa chama cha Upinzani ambaye nae anajinasibu kwamba anatetea umma, amekiponda Chadema kwa kusema kuwa Maandamano yao si lolote si chochote na Kikwete kuwazungumzia ni kuwapa kichwa, eti kama wanatoa matamko yanyohatarisha amani vyombo vya dola vipo viwashughulikie.

Maoni Yangu:
Kafulila na wenzake wa 'Upinzani' CUF, hivi kwa nini kwa kushirikiana na CCM hawaishi kuiandama Chadema? Mimi najua huo ni wivu wa Kike na woga baada ya kuona Chadema wanakubalika na wanaungwa mkono na wananchi wengi.
Go! Go! Go! Chadema.
Kumbuka mssada alioupata toka ccm kubadili kanuni za bunge kwa mwanvuli wa kusaidia kupata upinzani imara,kwa mwendo huo lazima ataendelea kurudisha fadhila kwa mwenyekiti wa sisiem. Heri CDM walikataa kushiriki katika uamuzi huo maana kwa sasa inaonyesha wazi sura halisi ya upinzani ambao sisiem ilkuwa imenuia kuutengeneza ndani ya bunge (i.e. kuhakikisha kambi ya upinzani inavurugika)
 
huyu bw. anayetambulika kama kafulila hana jipya na anavielement vya ccm hivyo sitashangaa one day akihamia ccm
 
Kafulila anaposema CDM haitishi anakiri kinyume chake
Kejeli zake zinatia shakA pale anapojiweka kwenye nafasi ya kumsaidia Jk kuwafix CDM
Namna fulani ya kujifanya/kuonyesha yupo pamoja na rais,atapata mafanikio madogo sana kutokana na tabia yake hiyo
Siasa za undumulakuwili siku hizi hazilipi,atakuwa kama kina Tambwe Hiza
 
Natumaini jamii ya Wanakigoma wameshaona hili kuwa mbunge wao anavyofanya, Kafulila kupambana na CDM atajikuta mahali pabaya na hivyo huenda zikawa mwisho wa enzi zake kisiasa, kuna Wanasisi waliokuwa wagumu kuelewa mambo huwezi amini wameshaanza kuona kazi nzuri inayofanywa na CDM.
Nawatakia CDM kila la heri ktk harakati zao za kutukomboa.
 
Huyu jamaa anaonekana anatumiwa na CCM au na Mwenyekiti wake bomu Mbatia. Simwelewi kwanini ana usongo na CDM,sijui wamemkosea nini hawa CDM. Huyu naona tusimwite KAFULILA baali kuanzia sasa tumwite KAFULIA. It sounds good KAFULILA KAFULIA!
Jinga na Pambaf kabisa.
 
huyu ni mbunge wa chama cha upinzani ambaye nae anajinasibu kwamba anatetea umma, amekiponda chadema kwa kusema kuwa maandamano yao si lolote si chochote na kikwete kuwazungumzia ni kuwapa kichwa, eti kama wanatoa matamko yanyohatarisha amani vyombo vya dola vipo viwashughulikie.

umma gani huo anao utetea huyo??? Siku zote ukiona mtu anatamka maneno ya jinsi hiyo ujuwe ni limbukeni, asiye faa hata kuitwa muwakilishi wa watu. Sipendi kabisa watu wa jinsi hiyo maana ni mbumbumbu, anatizama lakini haoni yaani ni kipofu huyo.
 
lazima tufanye walivyofanya egpty! CCM imetawala kwa muda mwingi sana na hankuna cha maana walichofanya an watakachofanya! CCM let tanzanian people down! i hate it! look no good roads, hosptals, mabomo, shule etc. hao hao CCM, please GOD can u please kick them out, and let good peple to run the country?:hand:
 
nae anajinasibu kwamba anatetea umma, amekiponda chadema kwa kusema kuwa maandamano yao si lolote si chochote na kikwete kuwazungumzia ni kuwapa kichwa, eti kama wanatoa matamko yanyohatarisha amani vyombo vya dola vipo viwashughulikie.

Huo umma anaoutetea wawapi? Nadhani huyo ndugu kafulia anamapepo, hivyo anastahili kuombewa ili mizuka yake ya kukurupuka na umbumbumbu wake uishe. Maana anafikili anatazama kumbe haoni maana ni kipofu huyo.
 
achana naye muha huyo hana lolote. Anataka kupata mgao wa dowans kutoka kwa rostam. Tulisha mtosha cdm siku nyingi. Hatuna hamu naye tena

Mshirika vipi??? Kwaani matamshi yake KAFULILA yanatokana na UHA wake? Nadhani hiyo siyo sawasawa! Ila yeye ni chuki, fitina, kijicho, husuda na wivu wake ndivyo vinavyo msumbua. Maana inamuuma sana anapoona CDM inawika na kwa vile alisha toswa toka zamani na CDM.
 
Back
Top Bottom