Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

Ni kafulila sio kafurila

Mpaka leo najiuliza kuna shida gani kila thread inayoandikwa kwenye majukwaa ya jf. yasiandikwe kabisa tarehe,mwezi na mwaka wa bandiko husika?. Kwa kiasi kikubwa kitawasaidia wasomaji kutorudia kusoma threads za miaka mingi nyuma wakidhani ni bandiko jipya. Naomba sana uongozi wa jf. ulifikirie hili kuokoa muda wa wasomaji wao.
 
Back
Top Bottom