Kafulila alipomkosoa Wangwe kuhusu 'Nidhamu na demokrasia'

Mwafrika;

Wewe pia unapendaga kwenda personal. Wewe ni ndugu yangu ila kwa hilo unatakiwa kujirekebisha pia
 
FP,

Sijawahi kukataa kuwa siendi personal. Mimi najibu moto kwa moto, pumba kwa pumba, na mawe kwa mawe.

Niwashangaa tu wale wanaodai kuwa naenda personal at the same time na wao wakienda personal na mimi!
 
Na wao wanakuelewa na kujibu moto kwa moto, pumba kwa pumba, na mawe kwa mawe.
 
A political consultancy firm in England required the services of

African advisor and thus advertised the post. Among the many applicants
were
two South Africans, *Sipho*, a Zulu and *Xolile*, a Xhosa. On their
way
to the interviews they managed to get hold of sample questions, they
discussed and agreed on a set of answers. On arrival *Xolile* was
the first to be interviewed and the same questions as discussed were
asked. Here is how the interview went:

*Panel*: Who is the world's most famous footballer?
*Xolile*: It was once Maradona but now it is Ronaldo.
*Panel*: When did your country gain its Freedom?
*Xolile*: Efforts started in 1990 but finally in 1994.
*Panel*: Is there water in Mars?
*Xolile*: Some say so, but it is not scientifically proven.
*Panel*: Why do you think we should give you the job?
*Xolile*: Well, I have the experience, expertise and I am good
at it.

The clever *Sipho* memorised only the discussed
answers, not the questions as discussed in the plane.

*Panel*: Who is your father?*
Sipho*: It was once Maradona, but it is now Ronaldo.
*Panel*: When were you born?*
Sipho*: Efforts started in 1990, but finally in 1994.
*Panel*: Your CV shows that you have 12 children, why so many?*
Sipho*: Well I have the Experience, expertise and I am good at it.
*Panel*: Are you mad?
*Sipho some say so,but is not scientifically proven !!!!

This is goood!!!
 
Mkuu Nimesoma Gazeti la Mwanahalisi wakimhoji Mama Zitto, kama maneno yake yatakuwa yana ukweli basi ndicho kilichompelekea Kafulila Kujivua Uanachama. Sasa kijana inawezekana amegundua Jaribio lake la Kugombanisha Zitto na Uongozi limeshindikana sasa atafanya nini zaidi ya Kujitoa, sometimes mambo ya kitoto yanaponza sana, nilishawahi kusema kwamba watu wanaleta siasa za DARUSO kwenye vyama ni mbaya saba

Umesema kweli ... Siasa za DARUSO zinaletwa kwenye siasa za nchi .... utoto kibao na umimi wa kumwaga.. na wengine wapo tutawaona mbele ya safari..
 
Na Kafulila alikuwa mtendaji ndani ya Chadema, yeye akachanganya na uanasiasa, kumbe hakujua ni wachache tu ndio wana faida hiyo
 
sijui ni dada au kaka unaboa kwa kweli? hivi huwezi kujadili mada bila kuwatack watu?? you personalize everything? Kumekuwa nashida kubwa sana kwa mashabiki wa CHADEMA humu ndani kutoa matamshi ya kuudhi na kukashifu watu, hii nayo inaishushia credibility CHADEMA kwa watu makini (mimi simo kweny hilo kundi). Nakushauri tumia muda wako vizuri kwa kuelewesha na kufafanua hoja, huisadii CHADEMA bali unaimaliza kwa kauli zako unless huna uhusiano na CHADEMA kwa hiyo unafanya makusudi.

Teh teh teh teh

Mwafrika
Yupo kukimaliza kabisa CHADEMA ili watu wafikiri viongozi wa chadema wote nivyo fikira zao.
Kifupi mwafrika ni mamuluki wetu .Sema ukweli mwafrika lile gamba la kijani nililokupatia siku zile ni lini umelirudisha.?
ha ha ha ha ha
 
Huu utaalamu wa IT wa porrrraaand naona unaanza kukuchanganya kichwa sasa.
 
Tatizo kubwajinga huna tofauti na huyu jamaa wa pili yaani Sipho

A political consultancy firm in England required the services of

African advisor and thus advertised the post. Among the many applicants
were
two South Africans, *Sipho*, a Zulu and *Xolile*, a Xhosa. On their
way
to the interviews they managed to get hold of sample questions, they
discussed and agreed on a set of answers. On arrival *Xolile* was
the first to be interviewed and the same questions as discussed were
asked. Here is how the interview went:

*Panel*: Who is the world's most famous footballer?
*Xolile*: It was once Maradona but now it is Ronaldo.
*Panel*: When did your country gain its Freedom?
*Xolile*: Efforts started in 1990 but finally in 1994.
*Panel*: Is there water in Mars?
*Xolile*: Some say so, but it is not scientifically proven.
*Panel*: Why do you think we should give you the job?
*Xolile*: Well, I have the experience, expertise and I am good
at it.

The clever *Sipho* memorised only the discussed
answers, not the questions as discussed in the plane.

*Panel*: Who is your father?*
Sipho*: It was once Maradona, but it is now Ronaldo.
*Panel*: When were you born?*
Sipho*: Efforts started in 1990, but finally in 1994.
*Panel*: Your CV shows that you have 12 children, why so many?*
Sipho*: Well I have the Experience, expertise and I am good at it.
*Panel*: Are you mad?
*Sipho some say so,but is not scientifically proven !!!!
Kuna wakati tunapenda sana kusoma vichekesho lakini nadhani kichekesho ni yule anayesoma na kuamini.. Sasa hawa Wa South wote wanaongea kiingereza vizuri (lugha) watawezaje kutoa majibu haya na ukakubaliana nayo ikiwa wewe msomaji ndiye usiyejua lugha? na hivyo kuafiki wakati haiwezekani mtu anayezungumza kiingereza vizuri kuulizwa "baba yako nani?" ajibu ni Maradona ati kwa sababu ali memorize majibu tu.... Wenye tabia ya kukariri majibu ni watu ambao hawaijui lugha na hasa sisi Watanzania ambao siku zote ktk mitihani tunakuwa na majibu pembeni kwa sababu kiingereza (lugha) tunayofundihshiwa inatupiga chenga..
 
Wanabodi,

Nitaendelea kuwaeleza ukweli viongozi wa Chadema pamoja na mashabiki wao nimelazimika kutumia neno 'uchizi' wa kisiasa kwa kuwa hakuna neno mbadala la kuwakilisha tabia mbaya zinazotokana na ushabiki wa kupindukia wa Chadema na wafuasi wake.

Chadema mnatakiwa kuelewa hizi sio enzi za harakati za kupigania uhuru na kumng'oa mkoloni, fanyeni siasa zenu katika misingi ya ustaraabu uzalendo na ubinadamu, hakuna awamu iliyotoa uhuru mpana zaidi kwa watanzania kutoa maoni yake, kujumika na wenzake na kushawishi wengine kufuata dini yake au chama chake, kama awamu hii ya nne. Lakini kwa bahati mbaya matunda ya uhuru huo mengine yameangukia mikononi mwa wabaya ambao wameamua kuutumia uhuru vibaya na kuugeuza uwe upanga wa kumjeruhi yeye aliyeutoa.

Chadema mnatakiwa iwahamasishe wasio na kazi wala shughuli rasmi kuipenda nchi yao wasiishie kuhamasisha wahuni waichukie nchi yao, serikali hairekebishi kwa kutupia mawe viongozi kitaifa, Chadema wanapambana na Idara ya Usalama wa Taifa kama vile nayo ni chama cha siasa kama CCM au CUF.
 
Humu jf kuna wa2 kazi yenu kuona hoja zenu za kipumbavu zinachangiwa na wa2 wangapi,tokea lini cdm wamekuwa wakihamasisha watu waichukie nchi yao? Siku zote cdm imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha watu wachukie ufisadi na mafisadi.Chama cha magamba ndo kinachohamasisha watu wawe wezi,wala rushwa.Think twice bana!
 
Ritz pia ukumbuke kuwa serikali makini na sikivu haikubali kujiachia/kujisahau/kutojali hadi ichukiwe (au kuwapa sababu watu wake kuichukia).
 
Last edited by a moderator:

Mkuu unaishi Tanzania gani? Chadema walitoa madai ya ajabu kwamba Usalama wa Taifa una mpango wa kuwaua viongozi wao Dr Slaa, Mnyika na Lema, huu ulikuwa ni uchochezi mbaya na hatari kwani taarifa ya Chadema ilikusudia kuwashawishi wananchi kuichukia Idara ya Usalama ya Taifa ionekane haifai na yenye kuendesha vitendo vya kiuhalifu.
 
Ritz pia ukumbuke kuwa serikali makini na sikivu haikubali kujiachia/kujisahau/kutojali hadi ichukiwe (au kuwapa sababu watu wake kuichukia).

Mkuu Chadema ilipotoa taarifa hiyo ilitaka umma na watanzania watakaposikia wafanye nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom