Kafulila akamatwa 'uchawi' NCCR-Mageuzi; MBUNGE wa Kasulu M.Machali yuko tayari kujiuzulu

Yawezekana Machali yupo sawa lakini mbona kama anavutia upande wa CHADEMA sana. Migogoro ndani ya NCCR inahusishwaje na CHADEMA? Hapo napata uwalakini na naelekea kukubaliana na mjumbe aliesema huyu Machali ni kibaraka wa CDM aliye ndani ya NCCR.
hawana cha kusema bila kuitaja CCHADEMA hawa!! CCM nao hawana jipya bila kutaja CHADEMA..........
 
Demokrasia tanzania hii na njaa zetu ni kazi kweli kweli,na yeye huyo Machali anatumwa na nani?

Weye kijana, ingawa waonesha kutumia bendera ya chadema, nakuona mamluki flani kutokana na post zako toka hasa kwa hili swala la Kafulila na Zito Vs Manchali/Mbatia. bila shaka umeahidiwa kacheo huko NCCR!

Waonakana sana maeneo ya Mabibo - dsm WACHEZA POOL BAR tena mchana BAR kutwa, utakuwaje mtafutaji weye kama sio mletewaji?!

Kwakuwa huna shughuli maalum ndo maana wapinga sana mpango wenu weye, kafulila na zito wa kuitekenya NCCR ili mpatepo kutambulika nanyie? HONGERA.
 
Ni kweli anavutia upande wa CHADEMA, yeye kwake ni hatari kwa siasa za upinzani kwa sababu kuna njama za kuimarisha NCCR kwa kujaribu kuiua chadema ambacho kwa sasa ni chama kikuu cha upinzani. Kama chadema itaingia katika tanuru hilo basi itakuwa ni mwanzo wa mwisho wa upinzani imara nchini.
 
Machali hapaswi kuwa na mawazo ya kujiuzulu UBUNGE na UANACHAMA, anapaswa kuendeleza mapambano akiwa ndani ya Chama.
 
Ni kweli anavutia upande wa CHADEMA, yeye kwake ni hatari kwa siasa za upinzani kwa sababu kuna njama za kuimarisha NCCR kwa kujaribu kuiua chadema ambacho kwa sasa ni chama kikuu cha upinzani. Kama chadema itaingia katika tanuru hilo basi itakuwa ni mwanzo wa mwisho wa upinzani imara nchini.
mbona mamember wapya mko wengi? halafu mkiingia hata ugeni hakuna ni nondo kwenda mbele kweli wewe ni mgeni au hii id ni ya 10?
 
Ni kweli anavutia upande wa CHADEMA, yeye kwake ni hatari kwa siasa za upinzani kwa sababu kuna njama za kuimarisha NCCR kwa kujaribu kuiua chadema ambacho kwa sasa ni chama kikuu cha upinzani. Kama chadema itaingia katika tanuru hilo basi itakuwa ni mwanzo wa mwisho wa upinzani imara nchini.

Hivi NCCR haiwezi kuimarika mpaka iidhofishe chadema, embu acheni mawazo potofu chadema itajidhoofisha yenyewe kutokana na mienendo ya viongozi wake
 
Demokrasia tanzania hii na njaa zetu ni kazi kweli kweli,na yeye huyo Machali anatumwa na nani?

Naona unaulaumu sana Upinzani kwa kisi ngizio cha Democrasia, sielewi wewe Ben una interest gani katika chama hivi wewe kwa upeo wako unadhani umefika muda Kafulila kuwa mwenyekiti NCCR? au na wewe uko kwenye kundi hilo moja.

Najua hata wewe kinachokusumbua ni kukosa Umwenyekiti wa vijana wa CDM, na huyo mzimu atakusumbua mpaka utaondoka CDM kwenda kwingine kwa ajili ya maslahi binafsi/personal interest.

Note: Najua uko kambi moja na Zito lakini itafika mahali utabaki mwenyewe kwani zito ni mtu wa kubalika leo yuko hivi na keshi vile siku hiyo itakiwa aibu kwako.
 
its better NCCR mkae na kuangalia nini source ya tatizo kwa matatizo hayo na jinsi chama chenu kilivyo poromoka kisiasa na huakika hamtafika mbali
 
Naona unaulaumu sana Upinzani kwa kisi ngizio cha Democrasia, sielewi wewe Ben una interest gani katika chama hivi wewe kwa upeo wako unadhani umefika muda Kafulila kuwa mwenyekiti NCCR? au na wewe uko kwenye kundi hilo moja.

Najua hata wewe kinachokusumbua ni kukosa Umwenyekiti wa vijana wa CDM, na huyo mzimu atakusumbua mpaka utaondoka CDM kwenda kwingine kwa ajili ya maslahi binafsi/personal interest.

Note: Najua uko kambi moja na Zito lakini itafika mahali utabaki mwenyewe kwani zito ni mtu wa kubalika leo yuko hivi na keshi vile siku hiyo itakiwa aibu kwako.

Kumbe nawe chaliii wa Ar umeziona post za Ben,
Umenifumbua kope za macho kuwa alikosa uenyekiti wa vijana CDM!,
hivyo, ayumkini analilia cheo NCCR kwa kutaka kuipindua himaya ya Mbatia, yeye na Kafulila alipewa ubunge na rafikiye Zito!
 
Kahangwa vipi tena bado unataka kurejea? vipi nawe kilichokutoa NCCR ni nini? tafadhali tuweke wazi.
 
Back
Top Bottom