Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Kufyededwa ni msamiat unaotumika sana mikoa ya kusin especially Lind na Mtwara ikiwa na maana ya kula,kumaliza au kumfanyizia na ni la mitaan nadhan msimuliaj wa hiyo story alikua ni chinga

bora umeelimisha manake mie nimeliskia haa kijiwen likawa geni kwangu.
 
Ukitaka kujua watu wanao toa kafara ndugu zao ndio watu wa namna hiyo!
Kweli bora ange muua kabisa kwa kweli.

Kweli dunia ina mambo!

ama waweza kukuta jamaa alikuwa na nia hiyo kweli manake kaka wa mama yako kabisa ukamfanye ukatili kama huu?
 
Kufyededwa ni msamiat unaotumika sana mikoa ya kusin especially Lind na Mtwara ikiwa na maana ya kula,kumaliza au kumfanyizia na ni la mitaan nadhan msimuliaj wa hiyo story alikua ni chinga

Oooh... Asante. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili neno "Kufededwa" kabla, ila baada ya kufatilia hiyo stori ndio nikalielewa..! Nimepata msamiati mpya siku ya leo..!
 
Huyo jamaa ni waajabu kabisa usije kushangaa akamfumania mkewe na akamua!
Unajua vitu vingine kama ndoto vile yani mjomba wake anamfanya hivyo kisa mwanamke

ama waweza kukuta jamaa alikuwa na nia hiyo kweli manake kaka wa mama yako kabisa ukamfanye ukatili kama huu?
 
Huyo jamaa ni waajabu kabisa usije kushangaa akamfumania mkewe na akamua!
Unajua vitu vingine kama ndoto vile yani mjomba wake anamfanya hivyo kisa mwanamke
binafsi nimebashiri hii ndoa ikidumu mwaka ujao wote basi watakuwa vidume kweli. manake kwa ukatili kama huu hata mizimu italia huko chini aisee.
 
Amepata alichostahili!

hapana jino kwa jino haifai. mijaamaa yaweza kuwa na ukimwi, mjomba ameambukizwa, atakufa, na mshkaji atahangaika tena kulea yatima. ingekuwa vema angetoa hata warning kwa mjomba. kama ni mimi, ikiwa mama yangu yupo , basi ningemwita mama na mjomba (mtu na kaka yake hapo) na kumweleza mjomba asitongoze bibi yangu. angeendelea ndo ningemtumia hicho kikosi kazi. kimtende. ikumbukwe mjomba alikuwa anakwenda kutenda kosa alikuwa hajatenda kosa.
 
Huyo jamaa ni waajabu kabisa usije kushangaa akamfumania mkewe na akamua!
Unajua vitu vingine kama ndoto vile yani mjomba wake anamfanya hivyo kisa mwanamke

unasema kweli. kwani kama amechukua hatua kali kwa mjomba hata kabla mjomba hajatenda hilo kosa. manake kuna siku mtu akimwambia huyu bwana kuwa kuna dalili bibi yake anatoka nje ya ndoa, huyu bibi ajue nae attendwa vivyo hivyo kama mumewe alitenda kwa mjomba. ninaamini nikiweza kukuumiza wewe, sintashindwa kwa wengine- katili hachagui
 
mwenye mke asilaumiwe, tunaweza kuwa tunaliona kwa mtazamo tofauti kwa sababu halitugusi moja kwa moja, lakini imagine wewe ndo mwenye huyo mke afu mjomba wako akufanyie hivyo!, hakuna aliyetenda kïhalalî baina yao, ila ndo imetokea hivyo, no room to justify or condemn the act, so far limetokea tayari iwe fundisho kwa wengine!
 
binafsi nimebashiri hii ndoa ikidumu mwaka ujao wote basi watakuwa vidume kweli. manake kwa ukatili kama huu hata mizimu italia huko chini aisee.

gfsonwin hakuna uhalali katika dhambi, hata mizimu naamini haitaangalia matokeo tu bali na chanzo, je kama uncle angefanikiwa azma yake ambayo ndo alikokuwa anaelekea ingekuaje!?? kavuna mshahara wa dhambi yake though hicho kitendo pia ni unjustifiable
 
Last edited by a moderator:

mwl mwenzangu, hatushabikii kosa la mjomba la hasha ila tunalinganisha na adhabu alopewa ya ukatili kiasi hiki, kweli hata kama anauma kiasi gani ndo umtende mwenzio namna hii? je adhabu hii inatosha kukuthibitishia kwamba mkeo huwa hatoki nje?
 
gfsonwin hakuna uhalali katika dhambi, hata mizimu naamini haitaangalia matokeo tu bali na chanzo, je kama uncle angefanikiwa azma yake ambayo ndo alikokuwa anaelekea ingekuaje!?? kavuna mshahara wa dhambi yake though hicho kitendo pia ni unjustifiable
Baba V, jamani hivi umeona extent ya ukatili ulotumika hapa? je haya yanatosha kukuonyesha kwamba mkeo atakuwa mwaminaifu kwako?
 
Last edited by a moderator:
Jamani pamoja na kwamba mke wa mtu ni sumu ila mie binafsi sijapenda alichofanyiwa huyo uncle.......wangeweza tu kumpa adhabu nyingine yoyote.......ni dhambi kwa Mungu pamoja na kwamba hata yeye ana makosa......hao wanaume waliokubali kufanya hicho kitendo nao pia watakuwa na matatizo ya kichwa hata kama wamelipwa.......binadamu mwenye akili kichwani hawezi kukubali kumfanyia mwanaume mwenzie huo ujinga......ni ujinga na uchafu wa hali ya juu!

Huyo uncle inabidi aangaliwe sana manake hiyo fedhea inaweza kumfanya ajichukulie maamuzi mabaya mf kujiua....alichofanyiwa ni kitendo cha aibu......hapo alipo anahisi labda ulimwengu mzima wanajua alichofanyiwa ndio mana hataki kutoka nje....... Uncle hajafanya vema kumtongoza huyo mke wa mpwa wake ila kiukweli mie moyo wangu umeniuma kwa alichofanyiwa............maradhi haya jamani...........mtu utalipwa afu baadae uje ujiuguze visivyokuwa na tiba na pengine hiyo hela isikusaidie chochote!
 
Hayatoshi gfsonwin.......ni ukatili wa hali ya juu........haijalishi kosa la mtendwa jamani khaaa! Kuna wanaume wana roho mbaya sana afu hawana UTU kabisa.......au alichukua wavuta bangi eeh?
 
sweetlady hawa vijana walipewa sh 250000/= na mtu alo watuma kisha wakapata sh 800000/= kwa mjomba nikijumlisha ni mil 1.25 sasa hizi kwa vijana 8 ni sawa na kila mmoja anaondka na laki na ushee. kwa vijana wa akitaa ambao walizaliwa kwa bahat mbaya na wanaish kwa jeuri ni hela nyingi ya kumtosha kunywa valuu mwezi mzima.

ishu na iona kwa uncle na mpwawe hivi mama mtu atamtetea nanai hapa?
 
Last edited by a moderator:
Hayatoshi gfsonwin.......ni ukatili wa hali ya juu........haijalishi kosa la mtendwa jamani khaaa! Kuna wanaume wana roho mbaya sana afu hawana UTU kabisa.......au alichukua wavuta bangi eeh?

ndio alichukua wavuta bangi ila tafakari zaid labda uncle aliwah kumsaidia dada yake jambo fulan ambalo mpaka leo pasi huyu uncle basi huyu mama asingefanikiwa halafu leo yanatokea haya atamtetea nani mwanae ama kaka?
 
Ni afadhali hata wangemsokomeza vijiti huko kwenye haja kubwa kuliko kuchomeka hizo mboli zao halafu wajione wajanja!

Umeonae? Wajinga kweli hao! Afu na wewe hata hiyo kumsokomeza vijiti pia sio vizuri ......sa zingine mwanamke anaweza kukusababisha utende dhambi afu kumbe sio msafi kiasi hicho......ina maana huyo mdada hajawahi kutongozwa kabisa???.....au ameamua tu kumuoshea uncle wa watu?
 
Ni vigumu sana kwa hiyo ndoa kudumu kwakweli. Maana hapo mke kafedheheshwa, mume kafedheheshwa pia. Hapo majaliwa ya mungu ndio yana hitajika, kinyume na hapo hakuna ndoa hapo!
binafsi nimebashiri hii ndoa ikidumu mwaka ujao wote basi watakuwa vidume kweli. manake kwa ukatili kama huu hata mizimu italia huko chini aisee.
 
Hapo ndio ujue duniani kuna watu wa aina tofauti aisee!
Hii story ina stua sana yani ndugu wa mama yake anamfanya namna hii!

Back
Top Bottom