Kafanya kosa kuoa house girl?

Lizzy,

Kuna vitu ni vigumu sana kuvibadilisha...Wenzio tumeishi na bibi zenu hadi tunazeeka ila hatukuwahi kuwa na vitu nyie mnaita love at first sight...Mwanamume unampenda mwanamke baada ya kuwa ama vigezo vyako vimetimia au vingine umeachana navyo.

Kama huamini wewe endelea hivyo hivyo...ila ipo siku utaujua ukweli...I wish ungerudi haraka kumsimulia Babu DC!!

Babu hata mimi sio mmoja wa wanaoanguka (japo naamini ipo) kwenye hiyo dhana ya love at first sight.

Kinachonisumbua ni kwamba hicho tunachodhani mwanakaka anaweza akawa anampendea au kinamsukuma kuoa huyo dada hakitoshi kutrngeneza ndoa iliyo imara.Maana kama ni hicho tu, yani inawezekana akawa hana hisia za kimapenzi(ana mapendo nae tu) na huyo dada wa watu hiyo ndoa ya kazi gani?Sindo kesho na kesho kutwa ataebda kuridhisha hizo hisia kwingine?

Yani kama hiyo ndio hali halisi (kumpendea malezi) hana tofauti na wale wanaooa ili wapikiwe na kusafishiwa nyumba alafu baadae wanatafuta nyumba ndogo kwaajili ya mahitaji yao mengine.
 
Kwa nini umuoe mtu kwa sababu sijui ni msafi,ana miguu mizuri,anajua kupika chakula kizuri bila kuwa na mapenzi? siku akipata ajali akapoteza mikono na kushindwa kupika hicho chakula kilichokuvutia kwake ndoa itakuwaje?[/QUOTE]
Hapo na mimi ndipo panaponitatiza.
 
sasa wewe daughter watu wanapendana kwa sababu flani flani, iwe ya chakula, mguu mzuri,nywele,, macho and the list goes on, on and on .....there must be something which drives one to love the other...... je wewe binafsi kuna mkaka ulimpenda i believe (kama wewe ni mdada kweli) na there must be something specific that made you crazy over that man.... prove me wwrong
 
ninayakumbuka na kuyaamini ila sikubaliani nayo hata kidogo.Kwa nini umuoe mtu kwa sababu sijui ni msafi,ana miguu mizuri,anajua kupika chakula kizuri bila kuwa na mapenzi? siku akipata ajali akapoteza mikono na kushindwa kupika hicho chakula kilichokuvutia kwake ndoa itakuwaje?

Practical experience na ma uzoefu yanaonesha kuwa wanawake wengi wakipatwa na matatizo wakawa hawajiwezi tena (incapacitated) wanakimbiwa na waume zao!! Ulishajiuliza kwa nini???

Ni jambo baya sana ila ndio ukweli wa maisha...Hayo uliyoyasema (na mengine kibao, but purely physical) ndiyo yanamchanganganya mwanamume...Ila akishayazoea anaanza kuishawishi akili yake kwamba labda anampenda huyo mwanamke!!

Mwanamume ni mwanamume na hana kitu hata kimoja anachoweza kulinganishwa na mwanamke tunapoongelea mambo MMU!!
 
sisi ndo wanaume bana!
(Source:Aspirin na genge lake la kina Fidel na Kaizer.)
 
Babu hata mimi sio mmoja wa wanaoanguka (japo naamini ipo) kwenye hiyo dhana ya love at first sight.

Kinachonisumbua ni kwamba hicho tunachodhani mwanakaka anaweza akawa anampendea au kinamsukuma kuoa huyo dada hakitoshi kutrngeneza ndoa iliyo imara.Maana kama ni hicho tu, yani inawezekana akawa hana hisia za kimapenzi(ana mapendo nae tu) na huyo dada wa watu hiyo ndoa ya kazi gani?Sindo kesho na kesho kutwa ataebda kuridhisha hizo hisia kwingine?

Yani kama hiyo ndio hali halisi (kumpendea malezi) hana tofauti na wale wanaooa ili wapikiwe na kusafishiwa nyumba alafu baadae wanatafuta nyumba ndogo kwaajili ya mahitaji yao mengine.

Lizzy wewe,

Hebu funguka macho mdogo wangu...kati ya vitu vinavyotengeneza ndoa imara kwa upande wa mwanamume hiyo kitu mnaita LOVE inaweza kuwa na asilimia ndogo sana... Mwanamume ana hesabu zake ambazo ni rahisi lakini nyie naona hata hamzijui!!

Kwa vile jamaa karidhika mwenyewe kwamba House girl ana wife quality, naamini atakuwa tayari kuilinda hiyo ndoa yake kwa gharama zozote...Hata akitoka nje bado atampa heshima kubwa na kumtimizia mahitaji yake kama mke!!

After all...kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina uhusiano kabisa na kumpenda au kutompenda mke.....!!

Hapo na mimi ndipo panaponitatiza.

Ukijitahidi kuwaelewa wanaume kama walivyo hutapata tatizo lolote...Tatizo lako unataka kuwaelewa kama vile ni wanaweke wa aina nyingine...Hapana aisee, hawa ni wanaume. Jinsi (sex) ambayo ni tofauti kabisa na nyie !!!
 
sasa wewe daughter watu wanapendana kwa sababu flani flani, iwe ya chakula, mguu mzuri,nywele,, macho and the list goes on, on and on .....there must be something which drives one to love the other...... je wewe binafsi kuna mkaka ulimpenda i believe (kama wewe ni mdada kweli) na there must be something specific that made you crazy over that man.... prove me wwrong

Kweli mkuu,

Sasa sijui kwa nini hawa wajukuu wanakataa (sijui kwa makusudi au accidentally) kuuona na kuukubali huu ukweli!!
 
Lizzy wewe,

Hebu funguka macho mdogo wangu...kati ya vitu vinavyotengeneza ndoa imara kwa upande wa mwanamume hiyo kitu mnaita LOVE inaweza kuwa na asilimia ndogo sana... Mwanamume ana hesabu zake ambazo ni rahisi lakini nyie naona hata hamzijui!!

Kwa vile jamaa karidhika mwenyewe kwamba House girl ana wife quality, naamini atakuwa tayari kuilinda hiyo ndoa yake kwa gharama zozote...Hata akitoka nje bado atampa heshima kubwa na kumtimizia mahitaji yake kama mke!!

After all...kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina uhusiano kabisa na kumpenda au kutompenda mke.....!!

Ukijitahidi kuwaelewa wanaume kama walivyo hutapata tatizo lolote...Tatizo lako unataka kuwaelewa kama vile ni wanaweke wa aina nyingine...Hapana aisee, hawa ni wanaume. Jinsi (sex) ambayo ni tofauti kabisa na nyie !!!

Khaaa,babu DC ngoja mi nikatafute reasoning kwingine maana hapa naona kunanirudisha kule kwenye ndoa imekosa maana.Usije ukakosa mjukuu wa kiume kwa muungano wa ndoa bure.
 
Alternatively unaweza ku-adjust gage yako na kuiweka karibu na zero (0) ili iwe rahishi kupanda au ku-drop zaidi bila kukuletea matatizo makubwa ya kisaikolojia na kiafya!!

Ndoa tamu sana ila utamu wenyewe unautengeneza mwenyewe....Siyo kama asali ya nyuki ambayo tunafakamia bila kujua imetokea wapi!!
 
mzee mwenzangu nisamehe bure,katika hili niko upande wa Lizzy,haki sawa kwa wote,hahahaaaaa!!!!!

I know...it is a very good team to side with....Return on investment is always amazing!!

Best wishes, ila sisi ngoja tuendelee kuwapatia stadi za maisha ya MMU!!
 
Alternatively unaweza ku-adjust gage yako na kuiweka karibu na zero (0) ili iwe rahishi kupanda au ku-drop zaidi bila kukuletea matatizo makubwa ya kisaikolojia na kiafya!!

Ndoa tamu sana ila utamu wenyewe unautengeneza mwenyewe....Siyo kama asali ya nyuki ambayo tunafakamia bila kujua imetokea wapi!!

Babu utatengenezaje kitu kisichotengenezeka?
Kama hamna matumaini siingii hata kwa fimbo, siwezi fanya majaribio ya hatari na maisha/hisi zangu aisee.
 
Namshauri huyo jamaa km anapenda kweli basi amuoe huyo h/girl bila kujali maeneo ya ndugu wala marafiki,
Ila km anataka kumuoa kwa vile anajua kulea watoto na kufanya kazi vizuri lkn hakuna mapenz na amuache mtoto watu mungu atamjalia kupata mtu sahihi na anayempenda kwa dhati.
Upendo wa kweli hauna masharti!!
 
Hahahha.. . . Bishanga karibu upande wa wapenda haki.

Please Lizzy,

Siyo kweli kwamba sie hatupendi haki....Tunachofanya ni kuwaeleza yale tuliyokutana nayo kwenye hii safari ndefu ya maisha.

Ni makosa kufanya hivyo??
 
Namshauri huyo jamaa km anapenda kweli basi amuoe huyo h/girl bila kujali maeneo ya ndugu wala marafiki,
Ila km anataka kumuoa kwa vile anajua kulea watoto na kufanya kazi vizuri lkn hakuna mapenz na amuache mtoto watu mungu atamjalia kupata mtu sahihi na anayempenda kwa dhati.
Upendo wa kweli hauna masharti!!

Atamtoa wapi?

Men are all brothers but from different mothers!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom