Elections 2010 Kadi nyekundu: Mafisadi 0-2 wapambanaji!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
mpaka sasa idadi ya kadi nyekundu kwa timu mbili za ccm ni:

mafisadi 0-2 wapambanaji

waliopewa kadi nyekundu ni:
  1. james lembeli: (aliingizwa chaka na kocha wake kwani kocha alimwita nje ya uwanja bila kuwasiliana na refa; ambaye bila ajizi akamzawadia kadi nyekundu)
  2. fred mpendazoe: huyu alimzozea mbovu kocha wake baada ya kocha kuonesha waziwazi kumchukia kwa sababu ya kuwa mkweli kwa timu yake. alijisahau akaanza kumfokea kocha aliyepo nje na baadaye alijikuta yuko nje ya ulingo; refa akatimiza wajibu wake.
nasikia na yule mchezaji maarufu wa tabora wameanza kumtengenezea mazingira ya kumpiga kadi ya rangi ile ile. hebu tusubiri na tuone.
 
Back
Top Bottom