Kadhia ya VODACOM na Utaifa wetu: LUNDENGA Kufungwa Kengele Rasmi

Kibiashara zaidi
Watu washalipi akila kitu na wanaona kuwaambia watu aise kitu imeahirishwa ni hasara
Ila sijui hasara kwa nani maana kuahirishwa kwa kitu ni kuwa ni kwa muda tuu mambo yataendelea siku nyingine baada ya msiba
na nafikiri waliona wazo lao kuwa ile imetokea mbali na dar hakuna atakayewasikia wakifanya mambo yao
japo kuna ambajo walikata ticket hawakwenda baada ya kupoteza ndugu zao
 
Hii ni propaganda ya kukwepesha lawama kwa utendaji wa kipumbavu wa serikali ya Zanzibar na rushwa zao na badala yake wanaibebesha Vodacom zogo lisilowahusu. SMZ kwanza ieleze kwa nini ajali imetokea wakati vyombo vyote vya uangalizi vipo halafu kama kuna wengine wa kulaumiwa ijulikane. Huwezi kulazimisha watu wavuruge ratiba zao sababu ya uzembe wa wajinga wengine.
Tuwe makini na kujiingiza kwenye mchezo wa lawama zisizo na kichwa wala miguu. Matatizo yanatakiwa yatatuliwe kwenye chanzo. Katika mkasa huu chanzo ni SMZ na si kampuni binafsi.

Hivi wewe kama kwenye hile ajali angekuwepo mwanao au mtoto wa ndugu yako, ungeyatamka haya maneno. kuwa na huruma waliopoteza maisha ni watanzania wenzetu, kama hauwezi kaa kimya. kwani miss Tanzania ina faida gani, zaidi ya kuchekelea watu kukaa nusu uchi?
 
Kibiashara zaidi.

Watu walishalipia Ukumbi.

watu walishakodi makorombwezo yote.

Mengine yote ni Blah! blah! na siasa tu.

Kama mfanya biashara makini lazima ufikirie na utenge dharula. Je kama ingetokea Rais au waziri mkuu kafariki na nchi ikatangaza maombolezo na kusimamisha shughuli zote za michezo na burdani . Ungefanya nini?

Nafikiri hiyo ni dharau dhidi ya Mamlaka ya nchi na kejeli kwa Taifa.

Pesa ni mali kuliko uhai.
 
Kibiashara zaidi
Watu washalipi akila kitu na wanaona kuwaambia watu aise kitu imeahirishwa ni hasara
Ila sijui hasara kwa nani maana kuahirishwa kwa kitu ni kuwa ni kwa muda tuu mambo yataendelea siku nyingine baada ya msiba
na nafikiri waliona wazo lao kuwa ile imetokea mbali na dar hakuna atakayewasikia wakifanya mambo yao
japo kuna ambajo walikata ticket hawakwenda baada ya kupoteza ndugu zao

Na huu ndio ungonjwa Mkubwa wa kuwa na wataalam wasiooona Long term repucation za tatizo na kuona madhara ya muda mfupi ambayo kiukweli hasara ingekuwa ndogo sana kwa ukubwa wa Kampuni kuliko msalaba huu waliobeba leo.

Tunajua mwisho wa siku yatapita, Lakini hili ni fundisho na laana kubwa kwa watendaji wa makampuni haya mawili vinara wa shindano hilo. Narudia tena kauli hii '' DHAMBI HII HAITAWATOKA KWA MUDA MFUPI'' japo finally watasamehewa na Muumba maana yeye ni mwingi wa kusamehe hata kwa dhambi gani.
 
Hakukuwa na haja ya kuendelea na mtanange huo wakati taifa limepoteza watu zaidi ya mia na tisini
Ni msiba wa watu wengi maana wakazi wengi wa bara wana ndugu mmmoja au wawili ambao walikuwa kwenye meli hiyo
Upande mwingine wa bara unashangilia walimbwende na vichupi upande mwingine wanaugulia maumivu ya kupoteza watu zaidi ya wawili au watatu wa familia
 
Kama mfanya biashara makini lazima ufikirie na utenge dharula. Je kama ingetokea Rais au waziri mkuu kafariki na nchi ikatangaza maombolezo na kusimamisha shughuli zote za michezo na burdani . Ungefanya nini?

Nafikiri hiyo ni dharau dhidi ya Mamlaka ya nchi na kejeli kwa Taifa.

Pesa ni mali kuliko uhai.

Mkuu Barubaru imefika mahala LINO nao watengeneze Muongozo na taratibu za kuendesha Shindano hili kama vilivyo vyama vya Soka, Mechi hata kama imegharimu kiasi gani na mashabiki wamejaa uwanjani lakini inapotatizwa na nguvu asili kupita kiasi kama theluji na mvua kubwa inaahirishwa na inapangwa upya. Hii ni mipango ya kisasa na inayozingatia possibility zote sio ujanja huu wa kuvuna mapato ya getini na siasa za uongo na ukweli.
 
Na huu ndio ungonjwa Mkubwa wa kuwa na wataalam wasiooona Long term repucation za tatizo na kuona madhara ya muda mfupi ambayo kiukweli hasara ingekuwa ndogo sana kwa ukubwa wa Kampuni kuliko msalaba huu waliobeba leo.

Tunajua mwisho wa siku yatapita, Lakini hili ni fundisho na laana kubwa kwa watendaji wa makampuni haya mawili vinara wa shindano hilo. Narudia tena kauli hii '' DHAMBI HII HAITAWATOKA KWA MUDA MFUPI'' japo finally watasamehewa na Muumba maana yeye ni mwingi wa kusamehe hata kwa dhambi gani.

kama kawaida watu watalaumu na litapita kama kawaida
hakuna wa kuwajibika wala kuomba radhi na tutaambiwa ilikuwa ni lazima lifanyike maana kuna wageni walikuwa wametoka nje ya nchi
Na bla bla kibao kama kawaida yao
 
katika sakata hili la VODACOM sijasikia mtu akigusia suala la vyombo vingine vya habari kama clouds, C2C, EATV, DTV na vinginevyo ambavyo vimekuwa vikiendelea kupiga muziki wa starehe kuwaburudisha watu kama kawaida ingawa serikali imetoa siku 3 za maombolezo tamati yake ikiwa ni leo. hii ina maana vyombo hivi havijaguswa na janga hili, nakumbuka baba wa taifa alipofariki mwaka ule serikali ilitangaza siku 30 za maombolezo hakuna kituo hata kimoja cha redio au televisheni kilichopiga muziki wa burudani isipokuwa nyimbo za maombolezo kwa muda wa siku zote 30, lakini leo siku 3 tu burudani na muziki kama kawaida na hakuna anayeliongelea hili.
 
Kuilaumu VODAOM ni makakati mahasusi wa idara ya usalama wa taifa kuwapumbaza watanzania wasiweze kujadili chanzo halisi cha ajali ya mei yaani uzembe wa mamlaka na Serikali kushindwa kuchukua hatua za dharura kuwaokoa maisha ya abiria hao tokea saa saba usiku ilipopigwa SOS hadi asubuhi.

TISS walimtumia Zitto kuanzisha mjadala huu dhidi ya Vodacom kwa kutegemea kuwa watu wengi watashabikia. Hata ukisoma msg ya Zitto utagundua iliandaliwa maalum k.m kuisifia Serikali ya Mapindizu ya Zanzibar kwa jinsi ilivyoshughulikai tatizo hilo. Zitto na ninyi vibaraka wa TISS mnaweza kutuambia SMZ ipongezwe kwa kitu gani kuanza shughuli za uokoaji Saa mbili asubuhi badala ya Saa usiku mara tu ajali ilipotokea.

Zipo taarifa zinzoonyesha kuwa ilikuwepo news black off kuhus ajili hiyo iliyoratibiwa na TISS kwa lengo la kuepusha aibu kubwa kwa Serikali zote mbili endapo vyombo vya habari vingewafikia walionusurika mapema na wakaeleza hali halsi ilivyokuwa kabla na baada ya ajali hiyo. Ndio vyombo vyetu vya habari viliendelea na shughuli kama kawaida.

Hata wavuvi wa eneo la Nungwi waliohijiwa na vyombo vya habari jana wamethibitisha ya kuwa zilikuwepo hatu za makusudi za kuficha idadi ya watu waliokufa katika jali hiyo kwa Serikali kuelekeza utafutaji maiti jua linapochomoza au kutua badala ya upande uliostahili kwa mujibu wa uzoefu wao. Pia wamelaumu kitendo cha watu kuzuiwa kuendelea kutafuata maiti upande sahihi.

Zoet hizi ni njama za kuficha ukweli wa idadi kamili ya watu wangapi wamepoteza maisha katika ajali hii ya kizembe. Hivyo kuitupia lawama Vodacom ni muendelezo wa njama hizo. Wanaostahili kulaumiwa ni Viongozi wetu wa kitaifa ambao wameugeuz msiba huu kama sehemu ya kutafuta umaarufu kupitia vyombo vya habari kwa kusifia vitu vya hovyo kabisa kama muungano wetu, badala ya vyombo hivyo kutuhabarisha habari muhimu kuhusu walionusurika, majeruhi na kupoteza maisha. Wengine wanaopaswa kubeba lawama kubwa ni CUF hususan Maalim Seif kwa kukubali kushiriki mchezo huu wa kuigiza wa kuficha uzembe wa Serikali.

Hii inathibitishwa na kauli ya mbunge wa CUF mmoja kuonekana kwenye runinga jana akilalamikia kitendo cha wahanga wa Pembe kutopatiwa kipaumbele kabisa katika shughuli zote zinazohusu ajali hii licha ya ukweli kwamba wao ndio wahanga wakubwa na ndio waliopoteza maisha na ndugu zao kwa kiwango kikubwa. Viongozi wa CUF walithamini sana ndoa ya CCM/CUF badala ya maisha ya wananchi. Ni lazima Waziri wa Miundo mbinu wa SMZ kutoka CUF ajihudhuru ili kuonyesha ya kuwa yale wapinzani waliokuwa wakiyadai miaka yote ya watu kujiuzulu yanapotokea majanga kama haya. Ikiwa Waziri huyu atashindwa kujiuzulu na kisha CUF kunyamaza basi tutambua kuwa madai hayo ya CUF yalikuwa ni unafiki mtupu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hapa vodacom wamekosea jamani. Hata hao LINO pia wamekosea kabisa. Unaju hata kama vodacom walitishia kutowapa udhamini basi LINO wao wangeonyesha msimamo wao. Hapa inabidi tuchukue hatua zaidi ikiwa ni pamoja na kutomtambua mshindi wa hilo shindano.

Mimi nitashangaa kabisa eti huyo mlimbwende anajihusisha katika shughuli za kusaidia jamii. Ni jamii ipi hasa anilenga wakati tangu mwanzo hakuwa na huruma kama hiyo? Huyu pia yapaswa tumkatae kwa sauti kuu, tumwambie hatukutambui na pia hatutaki misaada yako. Iweje utukumbuke leo wakati ulitudharau siku tulipopatwa na majonzi makuu ya taifa letu?

Hapa ili vodacom wajisafishe kwa jamii ni lazima wafanye haya mambo yafuatayo
1.Kwanza inatakiwa kuwafukuza kazi wale wahusika wa moja kwa moja na jamii(Mkurugenzi wa mahusiano ya jamii, hapa ni Mwamvita Makamba), pia meneja mahusiano bwana Salumu mwalimu.

2.Wasitishe huduma kwa huyu mshindi wa miss Tanzania kwa kipindi chake choote atakachokuwepo katika taji lake.
3.Wafute udhamini kwa mashindano ya miss Tanzania kuanzia mwakani.
4.Waombe radhi hadharani kwa kitendo chao cha kukosa utu.
5.Wajitathimini upya mahusiano yao na jamiii kwa sasa na penye tatizo walishughulikie mara moja. Hapa waje na sura mpya kabisa kwenye safu ya uongozi na si kuwaona tena Mwamvita Makamba na Salum Mwalimu.

Vodacom chukueni hatua vinginevyo mtaangamia kibiashara. Ninyi ni kampuni achaneni na mambo ya kuwabeba watu waliosababisha muwe katika hili zogo.
kaqti ya VODACOM/LINO na viongozi wetu wa kitaifa waliogeuza msiba huu mahali pa kujitafutia umaarufu hoja mufilisi kama kudumisha muungano wetu badala ya kutuonyesha leadership katika kuwasaidia wahanga kwa dhati kama vile kulipwa fidia n.k. NAMPONGEZA SANA FISADI WETU LOWASSA ANGALAU ALITAMKA KUWA WAATHIRIKA WANASTAHILI KULIPWA FIDIA.
 
ONE OF MWAMVITA BEST FRIENDs on her FB WALL-''Really watanzania some of us are soooo freaking stupid......Gosh, Mpaka now huko ZNZ hawajajua hata who was the owner of ile meli iliyozama ila wamekazania tu kulaumu why miss tz took place. instead of kuelekeza hasira on why meli yenye uwezo wa kubeba watu 600 ilibeba watu 1000 wao wameng'ang'ana on who was having a jolly good time that day,how the **** is that going to make things better? meli imeondoka bandarini''inaelemea one side kwa mizigo mingi,why not deal na watu waliofanya uzembe.instead stupid politicians wa chadema wamepata opportunity ya ku attack CCM, and waznz wamepata opportunity ya ku question muungano na bara.how unfair is that? DEAL WITH THE REAL ISSUES JAMANI,,MNGEPIGIA KELELE PUBLICLY NA KUDEMAND KUJUA MMILIKI WA MELI ILE MTAISAIDIA ZAIDI ZNZ na sio kuuliza why miss tz went down.septembe . r 11th ilitokea marekani na oscars hazikuwa cancelled ila watz bila majungu hamuoni raha.stupid... ANAENDELEA KUTOA MSISITIZO-''KAMA UNA ANY OPINION YA KISHAMBA YA KUBLAME VODACOM OR MISS TZ DONT COMMENT ON MY STATUS, IF U DONT AGREE WITH WHAT I SAID FEEL FREE TO REMOVE ME FROM YOUR FRIENDS'S LIST....''SASA SIJUI MTU KAMA HUYU ATAMSHAURI NINI MWAMVITA KAMA UUNGWANA KWAKE NI KAULI CHAFU.
 
Ningefurahi sana kama mod angeistosa hii thread kama vile alvyozitosa zile za jana. Nadhani kuna agenda fulani imejificha nyuma ya malalamiko yenu kuhusu Vodacom. Sioni sababu ya kuikomalia Vodacom wakati watu wanaohusika na vifo hivyo moja kwa moja wanajulikana lakini hamuwakomalii kihivyo. Yatapita tu haya hata mkiwa mnayaletaleta hapa!
 
Hivi wewe kama kwenye hile ajali angekuwepo mwanao au mtoto wa ndugu yako, ungeyatamka haya maneno. kuwa na huruma waliopoteza maisha ni watanzania wenzetu, kama hauwezi kaa kimya. kwani miss Tanzania ina faida gani, zaidi ya kuchekelea watu kukaa nusu uchi?

kama kweli watanzania wangekuwa na majonzi kama ambavyo ninyi wenye akili fin yu mataka watu waamini basi viti vingekuwa vitupu pale ukumbini. Kitendo cha viti kujaa ni ishara tosha ya kuwa our society every bady for him/herself. Ndio maana wakubwa wanafuja fedha za huduma za jamii na kujijengea mahekalu na maskini kufa kwa malaki kwa sababu ya kukosa huduma.
 
wao kuchangia wameweka kama hiyari lkn hawakupaswa kufanya hivyo kwanza walitakiw watoe pole kwa wafiwa then waombe nyongeza kutoka kwa wateja
 
wao kuchangia wameweka kama hiyari lkn hawakupaswa kufanya hivyo kwanza walitakiw watoe pole kwa wafiwa then waombe nyongeza kutoka kwa wateja

SUK kwa niaba ya wafiwa imekataa kupokea misaada toka vodacom kwakuwa walidhamini shindano la miss tanzania huku wazenji wakiwa kwenye maombolezo.
 
Mimi naona idara ya masoko ya Vodacom inahitaji a kiss of life ili itengamae. Hapo kabla kulikuwa na kijana alikuwa anaiongoza hiyo idara na kuyapeleka mambo sawa, lakini mmmmmhhhh bada ya kuondoka (kwenda Serengeti??? Chibuku???? TBL??? Konyagi???); mambo naona hayaendi sawa. Vodacom jipangeni upya vizuri.

Kwahiyo mama mdogo hapa unamaanisha kwamba, kama huyo kijana angekuwa hajaondoka angehakikisha shindano la miss tanzania halifanyiki ili kuilinda vodacom kujiepusha na kadhia hii wanayoipata toka kwa wazanzibari? Na kwahiyo dada "yetu" makamba ameshindwa kazi??
 
Back
Top Bottom