Kadawi Limbu, Katibu Mkuu wa Chama kipya cha ADC Aumbuliwa...!

Siku hizi kila mwanasiasa akitaka ajulikane lazima ainange chadema?
CUF,NCCR na vinginevyo hawavioni?
Shame on you Adawi.

CUF ni mwanandoa wa nyinyiem na NCCR ni tawi la nyinyiem. Kwahiyo hawa kwa lugha nyengine ni ndugu hawasemani.
Chadema ndicho chama pekee kinachoonyesha kutambua uwepo wake na kuelekea kutimiza malengo yake kisiasa kwahiyo kuwa tishio kwa chama twawala.
 
personal namfaham huyu jamaa, jina maarufu ni Limbu, msukuma wa meatu shinyanga, hana lolote ni choka mbaya, no school no nini nadhan kawekwa kama boya tu, baadae ndio wachague katibu, fikiria katbu gani anabishana kwenye mgahawa? njaa mbaya Limbu


Pia umekosea humufahamu vizuri , huyu bwana hatoki meatu ;anatoka wilaya ya zamani magu mwanza, kijiji cha kabila, tarafa ya ndagalu, sasa hivi ni wilaya ya simiyu.Mi namfahamu nilisoma naye shule ya msingi alikuwa nyuma yangu , kichwa ni box (bure kichwani) ;shule alirudia mara nyingi sana ili afaulu aingie kidato cha kwanza.kimsingi shule yake ni kuungaunga siyokuwa na mashiko na ni mropokaji mno.Nilishangaa sana kuona wamempa ukatibu mkuu ;inaonyesha ADC hakina watu makini na wasomi.acha kiwe ccm c, ni mtupu kisiasa ndo anaunga unga na sasa ndo kusoma chuo kishindwa huria
 
Huyo bwana alikuwa anakunywa juice ya ukwaju,alikunywa glasi 3 zikaanza kumlevya. Asamehewe bure.
 
Back
Top Bottom