Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

Golden city

Member
Jul 7, 2014
9
3
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.

Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako.

Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe kuliko nambari za simu kwa usalama zaidi.

ZIADA: Kama ilivyoripotiwa kwenye uzi wa Walimu Wanaotaka Kubadilishana Vituo, hata humu kunaweza kuwa na hatari ya matapeli ambao watatumia fursa kujipatia fedha, kukudhuru na wakati fulani kutaka kunufaika kingono (hasa kwa wanawake). IWENI MAKINI!
 
Heshima mbele wanajukwaa,

Naamini weekend ilikuwa njema na yenye afya kwa kila mmoja kwa kadiri alivyobarikiwa maana kuna waliokuwa na misiba, wagonjwa na wengine wengi kila mmoja na lake.

Mimi ni (nesi=nurse) mwajiriwa wa serikali (wizara ya afya) katika moja ya hospitali za Halmashauri ya Manispaa ya MUSOMA mjini. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa DAR ES SALAAMU au MOROGORO
Kama kuna mtu (nurse) ambaye angependa kufanyia kazi Halimashauri ya Manispaa ya MUSOMA naomba tuwasiliane/ ani-pm.
 
Hey guys i do feel like no body saw this!! msije mkawa mmehama nimebaki mwenyewe hsps jukwaani
 
Watanzania wa Musoma nimewahudumia vya kutosha, wengine naona pia humu jukwaani muda si mrefu utaziona ahasante zao..... Nataka sasa kuhudumia watanzania wa sehemu nyingine kama hizo nilizotaja.
Usiwasemee waache waseme wenyewe kwamba hawapo.... sema sipo kisha unacha mguuu...!
 
Nna dada nurse anatafuta kazi balaa hajapata dah ukiweza kumsaidia nichek inboX
Note:Hajaajiriwa
 
Hapa ndo penyewe atapata kazi jukwaani hakuna kinachoshindikana hapa... hata waganga wa kienyeji wapo
 
Habari zenu za jion ndugu zangu mu wazima.mimi nikajana ambaye nimemaliza mafunzo ya uuguzi na ukunga ngazi ya stashaada[diploma] katika chuo kiitwacho mbeya medical training centre[mmtc] .

Kwa sasa nimechaguliwa manispaa ya ilala na nahitaji mtu wa kubadilishana nae aliye kuwa mbeya anataka kwenda daresalaam ilala .namba zangu za simu ni 0766247775
 
Kaa kwanza mjini we wapenda fanyia kaz nyumbani? mjini madili kibao ya afya. ilala ndo home kwasasa ila kabisa uyole ndo home.badilisha mazingira bro.
 
Back
Top Bottom