Kada wa CUF auawa Kwimba; Ushabiki wa kisiasa wahusishwa

Ila MUNGU yupo na kuna siku hawa wauaji watahukumiwa kwa kufuata haki na si sheria tena Tufike mahali sasa tumwogope Mungu Jamani

Tutaishia kusema pole tu ila Kisingi Inauma sana basi tu hatuna la kufanya
 
Habari zako za kinafiki, za kichonganishi. Aliyeua hapo ni Majaliwa wala sio CCM.
 
[h=2]90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi[/h]
Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.

Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.

Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.

Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi

ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​
 
hata mimi nashindwa kushangaa!!! yaani mtu nimtume aje akuue, halaf anitaje jina hapohapo kwenye tukio? this is impossible. ni sawa na wale jamaa waliounguza nyumba ya mwana ccm kule igunga eti ikabaki karatasi yenye maandishi kuwa chadema ndio wamehusika....planners wa hili tukio hawana akili nzuri.
Hivi wauaji wanaotumwa wanasemaga kabisa nani kawatuma? Tena wakati wa tukio? Curious!
 
Habari JF,
CCM wilayani kwimba, mkoani Mwanza, wameua kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake mtu aitwaye NDULLU MABEJA 50YRS, aliyekuwa ni kampeni manager wa mgombea wa udiwani CUF wakati wa uchaguzi uliofanyika hivi karibuni ulipelekea mgombea wa CCM ambaye mpaka sasa nimenasa jina lake moja la MAJALIWA kushindwa vibaya katika uchaguzi huo.

Tukio hili la kinyama, limetokea katika kijiji cha Mhulya, kata ya Ngula, tarafa ya Ngula wilaya ya Kwimba,, mkoa wa Mwanza.

Majaliwa ametajwa na wakata mapanga waliofika nyumbani kwa marehemu usiku wa manane, wakamkuta NDULLU MABEJA akiwa amelala na mke wake VALENTINA NGAIGE 45YRS na kuanza kumkata mapanga huku wakisema, wao WASILAUMIWE bali alaumiwe Majaliwa aliyekuwa mgombea wa CCM kwa kuwa ndiye aliyewalipa pesa na kuwatuma kuua ili kummaliza kwa kosa la kufanikisha ushindi wa mgombea wa CUF.

CCM wamemwachia mke wa Ndullu ujane na mzigo wa kutunza watoto just kwa uroho wa madaraka.

Chanzo. Mdau aliyesindikiza mke wa marehemu kituoni kutoa taarifa.

Nawasilisha

haya bwana, kumbe modes mko juu. ni sawa na muungu watu. siyo mbaya mmeiweka vizuri heading from CCM WAUA TENA to KADA WA CUF AUWAWA KWIMBA, USHABIKI WA KISIASA WAHUSISHWA.

siyo wote ni waandishi wa habari, tunafanya tu kujulisha umma.
 
90 % ya viongozi wetu wenaugua magonjwa sugu , wanashindwa kufanya maamuzi

Mapema mwaka huu viongozi wetu wa juu wakiwemo wabunge,mawaziri, majaji , wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali walimiminika loliondo wakitaka kutibiwa magonjwa sugu ukiwemo ukimwi.mch ambilikile mwasapila (babu) aliwalaghai vigogo wa serikali na serikali yote kuamua kuelekea huko.
Magonjwa sugu yaliyotajwa ni:
1.ukimwi
2.kisukali
3.pressure
4.
5.
Taarifa za daktari zinaonyesha kuwa watu wenye magonjwa sugu huwa wanhasira kali na kushinda kufanya maamuzi magumu na kukosa mipango endelevu. Wanauza mali hovyo na kutapanya rasilimali

pamoja na kwamba dawa ya babu haitibu ukimwi lakini amefanikiwa kutupatia takwimu za ukweli kuhusu mtandao wa magonjwa sugu kwa viongozi wetu ambapo wametumia ndege kwenda loliondo na magari ya serikali.
Ni dhahili kuwa viongozi wetu wanao tuongoza ni wagonjwa wa magonjwa sugu kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi mazito na mipango ya maendeleo y mda mrefu.

Viongozi wetu wanahofu ya kufa kutokana na magonjwa yao na ndio maana wanauza madini, wanauza ardhi, wanauza wanyama hai mapema ili kukusanya pesa mapema.
Wengi tunajua mtu akiwa na hofu ya kufa kutokana na ukimwi huwa anauza mali hovyo hovyo na maamuzi yake siyo mazuri.

Mfano mzuri ni maamuzi ya kulipa dowans , jambo ambalo ni dhahili kwamba wanaofanya hivyo hawana mipango mirefu ya maisha katika taifa hili.
Viongozi wa ccm wanakata kuachia madaraka kwa watu wengine wakihofia hatima yao baada ya kuuza nchi na wanyama nje ya nchi. Wametapanya mali hovyo kwasababu hawana mawazo mazuri, wanang'ang'ia madaraka na kutaka watoto wao walithishwe urais , ubunge, na uwaziri ili kulinda uhalifu waliofanya.wanahaha kuiba kura ili waonekane wanapendwa na wananchi.

Mgogoro uliotokea libya ni sawa na mgogoro utao tokea tanzania 2015.
Huko libya gadafi alitaka kuachia madaraka mikononi mwa watoto wake ambao nao wamejilimbikizia mali lakini raia wema wakamuonya lakini hakusikia.

Hapa tanzania kuna juhudi kubwa za watawala wetu kutaka kurithisha madaraka kwa watoto wao ambao wamejirimbikizia mali katika vituo vya mafuta, migodi , maliasili, wameuza ardhi na sasa wanahaha kuiba kura.!!!!

Kuna harakati kubwa kwa watu ambao wametuhujumu , wametuibia , wametunyonya na sasa haohao ndio wameunda mitandao ya urais 2015. Wanatumia fedha walizotuibia kutuhonga ili tuwape kura. Wanatumia pesa hizo kuwahonga wachungaji, wamewanunua wachungaji na kufanya kampeni makanisani.

Watu hawa wakiugua tu utasikia walalahoi wanalalamika na kupiga kelele kuwa wamepewa sumu lakini safari ya loliondo walikwenda bila mtu kulalamika.wanasafiri kwenda india kutibiwa baada ya loliondi kupoteza umarufu lakini wanapo ondoka hawasemi wanaumwa nini !!!!!! Mauaji ya albino yanaongezeka ushirikina huku serikali ikiongeza kasi ya kutoa vibali kwa waganga .waliopo kwenda loliondo hawakusema wanaumwa nini!!! Lakini safari ya india ina maneno mengi

ni bora mbunge ,waziri, vigogo wanapougua waangalie ukweli wa afya yake sio kusingizia sumu .

Pia hapa kuna ubaguzi mpiga kura akiugua anafia nyumbani bila kufika hata dispensary, na hata akienda huko anakosa dawa.

Wajawazito wametengewa bajaji ambazo bado zinasuasua.

Waziri akiugua anakimbizwa haraka kwenda india na anagharimiwa fedha nyingi inayo weza kutibua zaidi ya walalahoi 100 hapa!!!

Wakati wa kupiga kura wabunge wanapiga magoti kuomba kura, wakimunyima anachakachua!!! Je, ni haki????​

hujavamia jukwaa mkuu? taarifa ya kwimba na loliondo wapi na wapi. any way thax kwa taarifa
 
Habari zako za kinafiki, za kichonganishi. Aliyeua hapo ni Majaliwa wala sio CCM.

na aliyeuwa kolimba, soko4, Amina chifupa na yule aliyegongwa na gari road ya iringa wakimlenga zitto nani aliuwa kama siyo CCM?
 
wewe uliwaona ccm wanaua? Au ndio propaganda zenu nyie cdm, mnaua nyie halafu mnasingizia ccm.

taarifa ndivyo ilivypelekwa kituoni na mke wa marehemu aliyeshuhudia mmewe akikatwa mapanga. Kama polisi waliandika hivyo, au walipindisha ni wao na laana yao, lakini mke wa marehemu aliripoti kitu alichokiona na kukisikia mkuu
 
Mm binafsi sina chama,lakini km great thinker,hii tarifa imeandikwa hisia,chuki na haiko neutral!no objectivity..sijawai kuskia muuaji anajitaja zaidi ya yule alshabab aliyehukumiwa kenya..mleta mada ametudanganya.ni mchochezi.
Utasikia wapi kama ni mvivu wa kusoma na kufuatilia mambo??? Ni juzi tu jamaa walichoma nyumba (banda la kuku) pale igunga na kuandika CDM sisi ni wajanja na hiyo propaganda ilienezwa hadi na Mkapa kuwa CDM ni chama cha fujo wanachoma nyumba za watu. Ila wana CCM wakijitaja mnatilia shaka, au ndio mkuki kwa nguruwe?
 
Mm binafsi sina chama,lakini km great thinker,hii tarifa imeandikwa hisia,chuki na haiko neutral!no objectivity..sijawai kuskia muuaji anajitaja zaidi ya yuule alshabazaidi aliyehukumiwa kenya..mleta mada ametudanganya.ni mchochezi.

unakataa lipi na unakubali lipi sasa
 
Jaribu kutumia akili, hivi muuaji anaweza kumtaja mtu aliyemtuma kuua. Hizo ni habari za kichonganishi.
 
na aliyeuwa kolimba, soko4, Amina chifupa na yule aliyegongwa na gari road ya iringa wakimlenga zitto nani aliuwa kama siyo CCM?

una ushahidi gani wa kuihusisha ccm na hayo mauaji?. Uamuzi wa watu wachache usichanganye ccm nzima.

Ccm ni chama makini, hakiwezi ua watu wake.
 
lakini si ulituambia wewe ni foreigner? Kweli huwezi kuyajua hao. Haya tuambie nani waliwauwa hao niliowataja na tafadhali tuongezee list kwani nyie mna record yao nzuri tu. Mwengine ni dr. Juma aliyekuwa makamu wa rais wa fisadi ben
 
una ushahidi gani wa kuihusisha ccm na hayo mauaji?. Uamuzi wa watu wachache usichanganye ccm nzima.

Ccm ni chama makini, hakiwezi ua watu wake.

tuambie huyu aliuwawa na nani Mzee

FxHXj0TEQ25kAAAAAElFTkSuQmCC
 
Back
Top Bottom