Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Mara nying Maafisa usalama wa CCM na polisi wamekuwa wakitumika sana kufanya mambo kama haya ya mauaji kisa tu mtu haitaki ccm... Tuangalie mauaji ya zanzibar, arusha na mengine mengi yote hi inatokana na utawala dharimu, vijana wengi wanauliwa na polisi na usalama wa ccm wakidhan ccm itatawala milele.
 
I'm so sad! something has to be done otherwise we're finished. First thing suspects should be under the bars then second ccm as a party its registration must be terminated. That's only way we can be in peace.
 
CHADEMA makao makuu tunaomba mwongo wa HARAKA juu ya kifo cha Kamanda Mbwana Igunga. Baada ya Mbwana, whao next in the 'CCM Death Democracy' row???????????????

Dr, Kafumu ubunge wako umejaa damu za watu wasio na hatia, wewe na CCM lazima damu hii itawalilia mpaka siku ya kiama, ole wenu .
 
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!

Naomba siku ukifa wewe au ndugu yako tukae kimyaaaaa until research is complete and the responsible sijui nini nini ..................... na maninini lione kwanza.
 
R.I.P, Tunawaomba cdm wachukue jukumu la kuitunza familia yake japo kwa 20%
 
Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
Wewe ni nani na utailinda TZ ipi?????????TZ yetu iko mahututi mikononi mwa manyangau wala si watawala ni wezi, sasa kama ni mzalendo unalinda TZ ipi????? Au umeajiriwa kama mamluki wa Libya unangoja kufurushwa na wananchi?????????
 
Nilitarajia BAKWATA na wenyewe wangeshiriki katika kulaani mauaji haya ya kinyama na kuipa siku serikali iliyopewa dhamana ya kikatiba ya kulinda uhai wetu,ije na taarifa kamili juu ya kifo kinachotokea katika mazingira ya kisiasa.maana hijabu na mitandio hawachelewi kutolea tamko,vipi kuhusu damu ya mwanadamu.Eee Mungu tuokoe sisi waja wako ktk kadhia hii ya serikali inayosimamia mauaji ya wanao thubutu kuihoji serikali yao kwa sanduku la kura
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi anaingia madarakani kwa kumwaga damu za watu.najua the main suspect ni CCM,vile vitendo vilivyokuwa vinafanywa na greengurd chini ya maelekezo ya viongozi uchwara na mazuzu kama WASIRA,matokeo yake ndo haya.RIP kamanda.
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..

Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap



Wewe Mwita25 si umepigwa ban kwa kujiita Mbwa!? Umetutokea wapi tena? Peleka u mbwa waka huko!
 
Nilitarajia BAKWATA na wenyewe wangeshiriki katika kulaani mauaji haya ya kinyama na kuipa siku serikali iliyopewa dhamana ya kikatiba ya kulinda uhai wetu,ije na taarifa kamili juu ya kifo kinachotokea katika mazingira ya kisiasa.maana hijabu na mitandio hawachelewi kutolea tamko,vipi kuhusu damu ya mwanadamu.Eee Mungu tuokoe sisi waja wako ktk kadhia hii ya serikali inayosimamia mauaji ya wanao thubutu kuihoji serikali yao kwa sanduku la kura
kama hawa jamaa wakishindwa kulaani mauaji lakini walilaaani sana la hijabu basi ndiyo utajua maana ya MASABURI ni nini!
 
Damu za watu + Billion 3 na ushee = Ubunge Igunga. Serikali inatakiwa kupinduliwa hata leo hii,maandamano yaweza kuwa njia ndefu sana,
 
Damu za watu + Billion 3 na ushee = Ubunge Igunga. Serikali hii inatakiwa kupinduliwa hata leo hii,maandamano yaweza kuwa njia ndefu sana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom