Kada wa CCM ataka Waziri Mwinyi ajiuzulu..

katiba

Member
Nov 24, 2010
13
0
Kada wa CCM Violet Mzindakaya asema ''NINGEKUWA MIMI NINGEJIUZULU'' kwenye ukuta wake wa facebook
‘’MH mwinyi kujiuzulu kwako si kwamba ndo kutakushusha hadhi ila kutakujengea imani zaidi siku za usoni mwako,,,onyesha huruma yako kwa hilo mbele ya tanzania na kunusuru pia serikali ya CCM,,,,,ndo mana watu wanazidi kutuchukia.mtu unakuwa kama dikteta bwana’’-aliendelea kusema.

----kumbe wanajua hawapendwi---twende Kazi----
 
mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bustani,yanapenda kulia kwa kwa kwa kwa...........:blah:
 
Utawala ukianza kupingana basi utawala huo hauna mda mrefu utaparanganyika.
 
Na bado hadi mtashikana mashati , CDM msumali mkali unachoma kote kote.
 
Utawala ukianza kupingana basi utawala huo hauna mda mrefu utaparanganyika.

Ni kweli mkuu.. ufalme ukifitinika unakaribia kuanguka... hizo ni dalili njema kwa wanamapinduzi. Vita vya panzi hivyo!!!...
 
Jamani vailet Mzingakaya hana cheo chochote kwenye CCM!Nafikiri kauli yake haina uzito na haiwakilishi CCM!
 
huyu binti aangalie baba yake asijenyang'anywa vile vijisenti vya walipa kodi!!!
 
Kama ulikuwa hujui, huyu dada ni mjumbe wa halmashauri KUU ya CCM-KUNDI LA VIJANA – UVCCM BARA...huwezi ukasema hana chochote.
 
huyu binti aangalie baba yake asijenyang'anywa vile vijisenti vya walipa kodi!!!

Huyu anaongea sababu baba yake tayari TIB wamemshika shati kuhusu ule mkopo wa mabillioni wa kunenepesha ng'ombe kuchinja na kuuza nyama nje.Kashindwa ku-comply na loan repayment schedule ya bank.
 
Back
Top Bottom